Riwaya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: vi:Tiểu thuyết
d roboti Badiliko: bg:Роман
Mstari 9: Mstari 9:


[[ar:رواية (أدب)]]
[[ar:رواية (أدب)]]
[[bg:Роман (литература)]]
[[bg:Роман]]
[[bs:Roman]]
[[bs:Roman]]
[[ca:Novel·la]]
[[ca:Novel·la]]

Pitio la 21:15, 11 Januari 2008

Riwaya ni kazi andishi ya fasihi ambayo kwa kawaida ni ndefu zaidi kuliko hadithi fupi. Urefu wa riwaya, maana yake ni kwamba msuko simulizi umejengeka vizuri, kuna wahusika wengi, inaenea muda mrefu, na mada zake ni nzito na pana kiasi. Mifano mizuri ya riwaya kwa lugha ya Kiswahili ni Nagona au Mzingile, riwaya za mwandishi Euphrase Kezilahabi.

Kamusi ya Fasihi iliyotolewa na K.W. Wamitila inataja aina nyingi tofauti za riwaya, k.m. riwaya changamano, riwaya sahili, riwaya kiambo, riwaya ya kibarua na nyingi nyingine.

Marejeo

Wamitila, Kyallo Wadi (2003), Kamusi ya Fasihi - Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Publications. ISBN 9966-882-79-6