Machakos : Tofauti kati ya masahihisho
d The file Image:Machakos_Evening.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Lymantria: ''Unfree Flickr license: http://flickr.com/photos/37940927@N04/3494285619 is licensed under All Rights Reserved''. ... |
No edit summary |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
}} |
}} |
||
'''Machakos''' ni mji wa [[Kenya]] |
'''Machakos''' ni [[mji]] wa [[Kenya]] ([[Wakamba|Ukambani]]) takriban [[kilomita]] 64 upande wa [[kusini]]-[[mashariki]] wa [[Nairobi]]. Ni [[makao makuu]] ya [[kaunti ya Machakos]]. |
||
Machakos imekua haraka kwa sababu ni karibu na mji mkuu wa taifa imeshapita idadi ya wakazi lakhi na nusu. Wenyeji wa Machakos ni hasa [[Wakamba]]. |
Machakos imekua haraka kwa sababu ni karibu na [[mji mkuu]] wa [[taifa]] imeshapita [[idadi]] ya wakazi [[lakhi]] [[moja]] na [[nusu]]. Wenyeji wa Machakos ni hasa [[Wakamba]]. |
||
==Historia== |
==Historia== |
||
Mstari 36: | Mstari 36: | ||
* [http://www.bluegecko.org/kenya/tribes/kamba/history2.htm Habari za historia ya Wakamba] |
* [http://www.bluegecko.org/kenya/tribes/kamba/history2.htm Habari za historia ya Wakamba] |
||
* [http://www.book-of-thoth.com/article966.html Habari za mlima Kituluni karibu na Machakos]. |
* [http://www.book-of-thoth.com/article966.html Habari za mlima Kituluni karibu na Machakos]. |
||
{{mbegu-jio-KE}} |
|||
[[Jamii:Miji ya Kenya]] |
[[Jamii:Miji ya Kenya]] |
||
[[Jamii:Mkoa wa Mashariki, Kenya]] |
[[Jamii:Mkoa wa Mashariki, Kenya]] |
Pitio la 12:45, 3 Novemba 2018
Machakos | |
Mahali pa mji wa Machakos katika Kenya |
|
Majiranukta: 1°31′0″S 37°16′0″E / 1.51667°S 37.26667°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mkoa | Mashariki |
Wilaya | Machakos |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 144,109 |
Machakos ni mji wa Kenya (Ukambani) takriban kilomita 64 upande wa kusini-mashariki wa Nairobi. Ni makao makuu ya kaunti ya Machakos.
Machakos imekua haraka kwa sababu ni karibu na mji mkuu wa taifa imeshapita idadi ya wakazi lakhi moja na nusu. Wenyeji wa Machakos ni hasa Wakamba.
Historia
Machakos ni kati ya miji ya kwanza ya Kenya bara ikaundwa mwaka 1899 wa Waingereza na kuwa makao makuu ya koloni ya Afrika ya Mashariki ya Kiingereza (mbali na eneo lindwa la pwani lililokodishwa na Usultani wa Zanzibar na Uingereza) kwa muda mfupi.
Jina la mji lilitokana na chifu Masaku wa Wakamba aliyewahi kuwa na boma lake hapo.
Baada ya azimio la kutounganisha Machakos na reli ya Uganda mji haukuendelea sana.
Mwaka 2002 majadiliano kati ya pande mbalimbali za vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Sudani yalifanyika Machakos.
Kituo kikuu cha mabasi mjini Nairobi huitwa na wenyeji "Machakos Airport".
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Machakos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |