Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 26: | Mstari 26: | ||
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. |
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. |
||
Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]]. |
Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Tangu 2016 kuna [[Daraja la Julius Nyerere]] linalounganisha maeneo karibu na [[Vijibweni]] upande mmoja na barabara ya Nelson Mandela (zamani Port Access Road) upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]]. |
||
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: [[CAMEL OIL]], [[OIL COM]], [[BIG BON]] na nyinginezo. |
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: [[CAMEL OIL]], [[OIL COM]], [[BIG BON]] na nyinginezo. |
Pitio la 04:58, 30 Oktoba 2018
Kata ya Kigamboni | |
Mahali pa Kigamboni katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°52′8″S 39°15′40″E / 6.86889°S 39.26111°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Temeke |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 30,496 |
Wilaya ya Kigamboni ni jina la Wilaya katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 17000[1] . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 30,496 waishio humo.[2]
Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la Dar es Salaam kwa maji ya Kurasini Creek.
Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Tangu 2016 kuna Daraja la Julius Nyerere linalounganisha maeneo karibu na Vijibweni upande mmoja na barabara ya Nelson Mandela (zamani Port Access Road) upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.
Pia Kigamboni katika kata ya Vijibweni ndiyo sehemu ambapo kuna yadi nyingi za mafuta k.mf. kampuni zinazohifadhi mafuta katika yadi hizo ni: CAMEL OIL, OIL COM, BIG BON na nyinginezo.
Kiasili sehemu hii ilikuwa kijiji cha wavuvi lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga nyumba na hoteli za kitalii zimeenea kwenye ufuko wa Bahari Hindi.
Marejeo
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf
- ↑ http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Wilaya ya Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania | ||
---|---|---|
Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka |
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kigamboni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |