Tofauti kati ya marekesbisho "Methali"

Jump to navigation Jump to search
247 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
'''Methali''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] '''<big>مثل</big>''' ''mathal'') ni [[usemi]] mfupi wa [[mapokeo]] wenye mpangilio maalumu wa maneno unaodokeza kwa [[muhtasari]] fikra au mafunzo mazito yatokanayo na uzoefu wa [[maisha]] ya [[jamii]] husika. Ni kauli fupi yenye pande mbili za fikra, ambazo upande wa kwanza huanza upande wa pili humaliza. Kwa mfano: Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua na mcheza kwao hutunzwa. Haraka haraka haina baraka. mkono mtupu haulambwi. Mkamia maji hayanywi.
 
Ni kauli fupi yenye pande [[mbili]] za fikra, ambazo upande wa kwanza huanza upande wa pili humaliza. Kwa mfano: ''Mficha [[ugonjwa]], [[kifo]] humuumbua''. ''Mcheza kwao hutunzwa''. ''Haraka haraka haina baraka''. ''Mkono mtupu haulambwi''. ''Mkamia maji hayanywi''.
Kila [[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake.
 
Kila [[taifa]] na kila [[kabila]] lina methali zake. [[Biblia]], kwa mfano, inakusanya nyingi kati ya zile za [[Israeli]] katika [[Kitabu cha Methali|kitabu maalumu]], mbali ya nyingine kupatikana katika [[vitabu]] vingine, hasa [[Vitabu vya hekima|vile vya hekima]].
 
==Methali za Kiswahili==

Urambazaji