Doris Mollel : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Doris Mollel''' (alizaliwa mkoani Arusha mnamo [[1994]]) ni mwanalimbwende ,mwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya [[Doris Foundation]] inayojihusisha na ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
'''Doris Mollel''' (alizaliwa mkoani Arusha mnamo [[1994]]) ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya [[Doris Foundation]] inayojihusisha na ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref>
==Maisha yake==
==Maisha yake==
Doris alizaliwa mtoto [[Njiti]] wakiwa mapacha,wakiwa ni wa kwanza kuzaliwa katika [[familia]] ya watoto watatu ya William Mollel(Marehemu) na Mama Celine Mollel.Amekuwa akijibidhiisha kutoa misaada kwa jamii kupitia taasisi yake ya Doris Foundation,misaada hiyo ni pamoja na kutoa [[vitabu]] kwa shule mbalimbali za [[msingi]]<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/taasisi-ya-doris-mollel-yapokea-vitabu-zaidi-ya-200-kutoka-mak-solutions</ref> lakini pia kusaidia upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya watoto [[Njiti]] kama vile, [[Mashine]] za [[Oxygen]] na za kunyonyea uchafu kutoka kwa Watoto [[Njiti]]<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/mrembo-anayetetea-maisha-ya-watoto-njiti.aspx</ref> lakini pia kuwasaidia wazazi wa watoto hawa pale msaada unapohitajika<ref>https://issamichuzi.blogspot.com/2016/11/taasisi-ya-doris-mollel-ya-yatoa.html</ref>

Pitio la 04:39, 25 Oktoba 2018

Doris Mollel (alizaliwa mkoani Arusha mnamo 1994) ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Foundation inayojihusisha na ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti[1]

Maisha yake

Doris alizaliwa mtoto Njiti wakiwa mapacha,wakiwa ni wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto watatu ya William Mollel(Marehemu) na Mama Celine Mollel.Amekuwa akijibidhiisha kutoa misaada kwa jamii kupitia taasisi yake ya Doris Foundation,misaada hiyo ni pamoja na kutoa vitabu kwa shule mbalimbali za msingi[2] lakini pia kusaidia upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa ajili ya watoto Njiti kama vile, Mashine za Oxygen na za kunyonyea uchafu kutoka kwa Watoto Njiti[3] lakini pia kuwasaidia wazazi wa watoto hawa pale msaada unapohitajika[4]

Elimu yake

Mwaka 2011 alihitimu kidato cha sita katika shule ya sekondari umoja,na Mwaka 2012 alijiunga na chuo kikuu cha Mwalimu Nyerere ambapo alikuwa akisomea shahada ya Siasa na Usimamizi wa Maendeleo ya Jamii.[5]

Kazi yake

Mnamo mwaka 2015 Doris foundation ilizinduliwa rasmi na Doris akiwa mkurugenzi wa Taasisi.

Tuzo

Mnamo mwaka 2012 Doris alifanikiwa kutwaa taji mrembo wa utalii katika chuo cha Mwalimu Nyerere na kitu cha kwanza kufanya baada ya kuchaguliwa huko, ni kupeleka watoto yatima wa kituo cha Chakuwama, Sinza, Dar es Salaam kwenda kuona vituo vya utalii mjini Bagamoyo.mwaka 2013 aliweza kushinda katika mashindano ya Urembo ya REDDS MISS ILALA 2013[6] Mnamo mwaka 2014 alishiriki mashindano ya mrembo wa Singida na kutwaa taji la Miss Singida 2014[7]

Marejeo