Tofauti kati ya marekesbisho "Samueli I"

Jump to navigation Jump to search
63 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q181620 (translate me))
'''Kitabu cha kwanza cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya [[Kitabu]] cha [[Samweli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande [[mbili]] kutokana na ukubwa wake.
 
Kuanzia [[tafsiri]] ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]] na vilevile katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]] kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
 
Hata hivyo [[mada]] yake na ya Kitwabu[[Kitabu cha Pili cha Samueli|Kitabu cha pili]] ni moja: kueleza habari za mwanzo wa [[ufalme]] wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka [[mafuta]] awaweke [[wakfu]] [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Viungo vya nje==
 
*[http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/1Sam/ Kitabu cha Kwanza cha Samueli katika Biblia (Union Version)]
 

Urambazaji