Upinde : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
Inaaminika kuwa upinde wa kale kabisa ulipatikana [[Holmegård]] nchini [[Denmark]] ukiwa na miaka 8.000.
Inaaminika kuwa upinde wa kale kabisa ulipatikana [[Holmegård]] nchini [[Denmark]] ukiwa na miaka 8.000.


== Historia ya Upinde ==
Upinde ulitengenezwa kwa minajili ya kuwinda wanyama wenye mbio na ambao hawangefikika kwa kukimbizwa mbio au kurushiwa mawe. Baadaye, upinde ulitumika kama zana za vita jamii zilipokuwa zikikabiliana na maadui zao. Hata hivyo teknolojia hii ya kutumia upinde kama zana za vita umepitwa na wakati kwani kuna zana zingine zilizo na haraka na teknolojia njema kuliko upinde na mshale. Kwa leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na kama njia ya mchezo ingawapo wachezaji wa mchezo wa archery hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa unaoitwa [https://www.strongnia.com/reverse-curve-crossbow-pros-cons/ crossbow.]


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 12:51, 17 Oktoba 2018

Mtu akijaribu kutupa mshale kwa kutumia upinde.

Upinde (kutoka kitenzi "kupinda") ni mti uliokunjwa na kuunganishwa kwa kamba au ngozi hutumiwa kwa ajili ya kurushia mishale.

Inaaminika kuwa upinde wa kale kabisa ulipatikana Holmegård nchini Denmark ukiwa na miaka 8.000.

Historia ya Upinde

Upinde ulitengenezwa kwa minajili ya kuwinda wanyama wenye mbio na ambao hawangefikika kwa kukimbizwa mbio au kurushiwa mawe. Baadaye, upinde ulitumika kama zana za vita jamii zilipokuwa zikikabiliana na maadui zao. Hata hivyo teknolojia hii ya kutumia upinde kama zana za vita umepitwa na wakati kwani kuna zana zingine zilizo na haraka na teknolojia njema kuliko upinde na mshale. Kwa leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na kama njia ya mchezo ingawapo wachezaji wa mchezo wa archery hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa unaoitwa crossbow.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:



Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.