Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
links
Links and pictures
Mstari 14: Mstari 14:
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
'''Matikisa''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] [[Motacilla]] ya [[familia]] [[Motacillidae]] ambao huitwa '''vibikula''' pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi nyingine zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.
'''Matikisa''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] [[Motacilla]] katika [[familia]] ya [[Motacillidae]] ambao huitwa '''vibikula''' pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] nyingine zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==
* ''Motacilla aguimp'', [[Tikisa-majumba]] ([[w:African Pied Wagtail|African Pied Wagtail]])
* ''Motacilla alba'', [[Tikisa Mweupe]] ([[w:White Wagtail|White Wagtail]])
* ''Motacilla alba'', [[Tikisa Mweupe]] ([[w:White Wagtail|White Wagtail]])
* ''Motacilla aguimp'', [[Tikisa-majumba]] (African Pied Wagtail)
* ''Motacilla capensis'', [[Tikisa Kusi]] ([[w:Cape Wagtail|Cape Wagtail]])
* ''Motacilla capensis'', [[Tikisa Kusi]] (Cape Wagtail)
* ''Motacilla cinerea'', [[Tikisa Kijivu]] ([[w:Grey Wagtail|Grey Wagtail]])
* ''Motacilla flaviventris'', [[Tikisa wa Madagaska]] (Madagascar Wagtail)
* ''Motacilla citreola'', [[Tikisa Manjano]] ([[w:Citrine Wagtail|Citrine Wagtail]])
* ''Motacilla citreola'', [[Tikisa Manjano]] ([[w:Citrine Wagtail|Citrine Wagtail]])
* ''Motacilla clara'', [[Tikisa-mlima]] ([[w:Mountain Wagtail|Mountain Wagtail]])
* ''Motacilla flava'', [[Tikisa Kichwa-buluu]] ([[w:Blue-headed Wagtail|Blue-headed Wagtail]])
* ''Motacilla flava'', [[Tikisa Kichwa-buluu]] ([[w:Blue-headed Wagtail|Blue-headed Wagtail]])
* ''Motacilla cinerea'', [[Tikisa Kijivu]] ([[w:Grey Wagtail|Grey Wagtail]])
* ''Motacilla flaviventris'', [[Tikisa wa Madagaska]] ([[w:Madagascar Wagtail|Madagascar Wagtail]])
* ''Motacilla clara'', [[Tikisa-mlima]] (Mountain Wagtail)


==Spishi za Asia==
==Spishi za Asia==
* ''Motacilla lugens'' (Black-backed Wagtail)
* ''Motacilla grandis'' ([[w:Japanese Wagtail|Japanese Wagtail]])
* ''Motacilla grandis'' (Japanese Wagtail)
* ''Motacilla lugens'' ([[w:Black-backed Wagtail|Black-backed Wagtail]])
* ''Motacilla madaraspatensis'' ([[w:White-browed Wagtail|White-browed Wagtail]])
* ''Motacilla madaraspatensis'' ([[w:White-browed Wagtail|White-browed Wagtail]])
* ''Motacilla samveasnae'' (Mekong Wagtail)
* ''Motacilla samveasnae'' ([[w:Mekong Wagtail|Mekong Wagtail]])


==Picha==
==Picha==
<Gallery>
<Gallery>
Image:Motacilla alba alba.JPG|Tikisa mweupe
Image:Motacilla alba alba.JPG|Tikisa mweupe
Image:Motacilla_flava.jpg|Tikisa kichwa-buluu
Image:Grey_Wagtail.jpg|Tikisa kijivu
Image:Grey_Wagtail.jpg|Tikisa kijivu
Image:Himalayan Citrine Wagtail.jpg|Tikisa manjano
Image:Motacilla_flava.jpg|Tikisa kichwa-buluu
</Gallery>
<Gallery>
Image:Segurosekirei 06f7982v.jpg|Japanese wagtail
Image:Motacilla lugens.jpg|Black-backed wagtail
Image:White-browed Wagtail I MG 9376.jpg|White-browed wagtail
</Gallery>
</Gallery>



Pitio la 12:41, 9 Januari 2008

Tikisa
Tikisa-majumba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege wimbaji)
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Motacilla (Matikisa)
Linnaeus, 1758
Spishi: Angalia katiba

Matikisa ni ndege wa jenasi Motacilla katika familia ya Motacillidae ambao huitwa vibikula pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi nyingine zina rangi nzuri. Hukamata wadudu chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha