Tofauti kati ya marekesbisho "Frederick Lugard"

Jump to navigation Jump to search
3 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Frederick Lugard, 1st Baron Lugard.jpg|thumb|Frederick Lugard]]
'''Frederick John Dealtry Lugard''' (Januari 22, 1858 – Aprili 11, 1945), alikuwa mwanajeshi, [[mamluki]], [[upelelezi|mpelelezi]] na mtawala wa koloni. Alikuwa Gavana wa Hong Kong (mwaka 1907-1912), Gavana wa mwisho wa  Nchi Lindwa ya Nijeria Kusini (mwaka 1912-1914), balozi wa kwanza  (mwaka 1900-1906) na gavana wa mwisho (mwaka 1912-1914) wa Nchi Lindwa ya Nijeria Kaskazini na kwanza Gavana Mkuu wa kwanza wa Nijeria (mwaka 1914-1919).
 
Alizaliwa katika Madras ([[Chennai]]), [[Uhindi|India]], lakini alilelewa katika Worcester, [[Uingereza]].<ref>{{Cite web|url=https://www.findagrave.com/memorial/126290001/frederick-john_dealtry-lugard|title=Sir Frederick John Dealtry Lugard (1858-1945) - Find A Grave Memorial|date=13 June 2018}}</ref>
285

edits

Urambazaji