Muziki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
Baadhi ya sifa za muziki ni [[uzito wa sauti]] (''pitch'') na [[wizani]] au [[mahadhi]] (''rhythm'').
Baadhi ya sifa za muziki ni [[uzito wa sauti]] (''pitch'') na [[wizani]] au [[mahadhi]] (''rhythm'').

Aina ya muziki inayopatikana kote [[duniani]] ni [[nyimbo]] ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki. Kwa wanaorekodi sauti, wao huenda kwa studio kurekodi na huchukuliwa kwa kinasasauti kilichoambatanishwa na tarakilishi na kudhibitiwa na kompresa.
Aina ya muziki inayopatikana kote [[duniani]] ni [[nyimbo]] ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki. Kwa wanaorekodi sauti, wao huenda kwa studio kurekodi na huchukuliwa kwa [[kinasasauti]] kilichoambatanishwa na [[tarakilishi]] na kudhibitiwa na [[kompresa]].

== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
Mstari 20: Mstari 20:
* [http://www.musicfoundations.org/pages/3/index.htm Arts and Music Uplifting Society towards Transformation and Tolerance] Makala kuhusu nguvu za muziki kwenye nyanja za mawasiliano, elimu na tiba.
* [http://www.musicfoundations.org/pages/3/index.htm Arts and Music Uplifting Society towards Transformation and Tolerance] Makala kuhusu nguvu za muziki kwenye nyanja za mawasiliano, elimu na tiba.
* [http://www.scientificamerican.com/podcast/episode.cfm?id=musical-chills-related-to-brain-dop-11-01-09 Scientific American, ''Musical Chills Related to Brain Dopamine Release'']
* [http://www.scientificamerican.com/podcast/episode.cfm?id=musical-chills-related-to-brain-dop-11-01-09 Scientific American, ''Musical Chills Related to Brain Dopamine Release'']
* [http://wadesound.com/compressors/wampler-ego-compressor-review/ Wampler ego compressor review]
*
[http://wadesound.com/compressors/wampler-ego-compressor-review/ Wampler ego compressor review]
{{refend}}
{{refend}}

Pitio la 13:04, 21 Septemba 2018

Mchoro wa Ugiriki wa Kale juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki (510 KK hivi).

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.

Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousikee).

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki. Kwa wanaorekodi sauti, wao huenda kwa studio kurekodi na huchukuliwa kwa kinasasauti kilichoambatanishwa na tarakilishi na kudhibitiwa na kompresa.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.