Tofauti kati ya marekesbisho "Kilomita"

Jump to navigation Jump to search
22 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
(Adding image)
[[File:Kilometre definition.svg|thumb|Ufafanuzi wa awali wa kilomita]]
'''Kilomita''' (pia: '''kilometa''') ni [[kipimo]] cha [[urefu]]. Kinamaanisha urefu wa [[mita]] 1,000. [[Kifupi]] chake ni km.
 
Kilomita ni kipimo cha umbali cha kawaida katika [[maisha]] ya kila siku cha kupimia [[umbali]] usio karibu. Umbali kati ya [[miji]] hupimwa kwa kilomita.
 
Kilomita ni sehemu ya vipimo vya [[SI]] vyenye msingi wa [[mita]].
Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama [[maili]] au [[verst]].
 
Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya [[astronomia]] kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya [[mwezi]] na [[dunia]] inaweza kutajwa kwa kilomita ni [[lakhi]] [[tatu]] au 300,000 km. Lakini umbali kutoka [[jua]] letu hadi [[nyota]] ya jirani [[Alpha Centauri]] ni mbalimkubwa mno. Hapa kipimo cha [[mwaka wa nuru]] hutumiwa.
 
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]

Urambazaji