Tours : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Daraja la mto Loire mjini Tours '''Tours''' ni mji wa Ufaransa ya kati mwenye wakazi 143,000. Uko kando la mto Loire. Mji unajulikana kihisto...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:34, 8 Januari 2008

Daraja la mto Loire mjini Tours

Tours ni mji wa Ufaransa ya kati mwenye wakazi 143,000. Uko kando la mto Loire.

Mji unajulikana kihistoria kutokana na askofu Martin wa Tours (mnamo 370) anayekumbukwa kama mtakatifu katika kanisa katoliki.

Mwaka 732 mfalme wa Wafranki Karolo Martell alishinda jeshi la Waarabu katika mapigano ya Tours na Poitiers na kuzuia uenezaji wa Uislamu katika Ulaya ya Magharibi.