Rukia yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
 
:::Halafu naomba tuachane na mizaha. Ulileta hizi makala kuhusu [[Hofu ya Jumapili]] na [[CBD Gummies]]. Nimepeleka yote miwili kwenye mapendekezo ya [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]]. Unaweza kuzitetea huko ukipenda. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:59, 13 Septemba 2018 (UTC)
 
Maandishi ya hofu ya Jumapili (Sunday Scaries) ni jambo lililo na umaarufu. Mengi yameandikwa kuhusu hisia hii katika wavuti kama Forbes, NBC news, thisisinsider, businessinsider na Thrive Global yote ambayo ni majalada yenye umaarufu. '''[[Mtumiaji:Hreflafa|Hreflafa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa#top|majadiliano]])''' 11:15, 14 Septemba 2018 (UTC)
199

edits