Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa"

Jump to navigation Jump to search
No edit summary
:Vizuri, hongera! Sasa tafuta makala ya Kiingereza inayolingana (je iko? labda digital marketing? Kama ni hii weka pia Kiingereza chake kwa mabano na ''italiki'' baada ya [[lemma]] ya Kiswahili. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:54, 10 Septemba 2018 (UTC))
Hili la kuunganisha makala ya Kiswahili bado sijalielewa. Huenda kukawa na makala yanayoeleza jambo hili niyatumie. Asante'''[[Mtumiaji:Hreflafa|Hreflafa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa#top|majadiliano]])''' 09:56, 13 Septemba 2018 (UTC)
 
::Je umejaribu kufuata hatua zilizopo juu? Interwiki ni orodha ya lugha unayooana upande wa kuchoti chini kwa makala mengi. Ili zionekane lazima kuziunganisha na database kuu ya Wikidata. Basi fuata hatua nilizoandika. au soma hapa https://en.wikipedia.org/wiki/Help:Interwiki_linking#Interlanguage_links'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:59, 13 Septemba 2018 (UTC)
 
:::Halafu naomba tuachane na mizaha. Ulileta hizi makala kuhusu [[Hofu ya Jumapili]] na [[CBD Gummies]]. Nimepeleka yote miwili kwenye mapendekezo ya [[Wikipedia:Makala kwa ufutaji]]. Unaweza kuzitetea huko ukipenda. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:59, 13 Septemba 2018 (UTC)

Urambazaji