Ufalme wa Mungu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Gottvater thronend Westfalen 15 Jh.jpg|thumb|240px|[[Mungu Baba]] juu ya kiti cha enzi<ref name= "Bowker pp. Throne of God">{{harvnb|Bowker|2005|pp=''Throne of God'' entry}}</ref>, [[Westphalia]], [[Ujerumani]], mwisho wa [[karne ya 15]].]]
[[Westphalia]], [[Ujerumani]], mwisho wa [[karne ya 15]].]]
[[File:Christ Handing the Keys to St. Peter by Pietro Perugino.jpg|thumb|right|[[Yesu]] akimpa [[Mtume Petro]] funguo za ufalme wa mbinguni ([[Math]] 16:18),<ref>''The Gospel of Matthew'' (Sacra Pagina Series, Vol 1) by Dainel J. Harrington 1991 ISBN 978-0-8146-5803-1 page 248</ref> kadiri walivyochorwa na [[Pietro Perugino]], [[1492]].]]
[[File:Christ Handing the Keys to St. ,ufalme Wa Mbinguni[mathayo22:1]nakuendele Inaelezea Vizuri Mfano Mzuri Kuusu Ufalme Wambinguni Ulivyo. |[[Yesu]] akimpa [[Mtume Petro]] funguo za ufalme wa mbinguni ([[Math]] 16:18),<ref>''The Gospel of Matthew'' (Sacra Pagina Series, Vol 1) by Dainel J. Harrington 1991 ISBN 978-0-8146-5803-1 page 248</ref> kadiri walivyochorwa na [[Pietro Perugino]], [[1492]].]]
[[File:Langenzenn Stadtkirche - Fenster Wilhelm II 3.jpg|thumb|180px|[[Malaika]] akipuliza [[tarumbeta ya mwisho]] kwa ajili ya [[Hukumu ya mwisho|hukumu]] kadiri ya [[1Kor]] 15:52, [[Langenzenn]], Ujerumani, [[karne ya 19]].]]
[[File:Langenzenn Stadtkirche - Fenster Wilhelm II 3.jpg|thumb|180px|[[Malaika]] akipuliza [[tarumbeta ya mwisho]] kwa ajili ya [[Hukumu ya mwisho|hukumu]] kadiri ya [[1Kor]] 15:52, [[Langenzenn]], Ujerumani, [[karne ya 19]].]]
'''Ufalme wa Mungu''' (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika [[Injili ya Mathayo]]) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa [[Yesu Kristo]] katika [[Injili]] .<ref name=France101>''The Gospel of Matthew'' by R.T. France (21 Aug 2007) ISBN 080282501X pages 101-103</ref>
'''Ufalme wa Mungu''' (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika [[Injili ya Mathayo]]) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa [[Yesu Kristo]] katika [[Injili]] .<ref name=France101>''The Gospel of
[[Neno]] "[[ufalme]]" (kwa Kigiriki βασιλεία, ''Basileia'') linapatikana mara 162 katika Agano Jipya, kawaida kwa maana ya ''Basileia tou Theou'' (βασιλεία τοῦ θεοῦ), Ufalme wa Mungu, au ''Basileia tōn Ouranōn'', (Βασιλεία τῶν Ουρανῶν), Ufalme wa Mbinguni.<ref>''Theology for the Community of God'' by Stanley J. Grenz (Jan 31, 2000) ISBN 0802847552 page 473</ref><ref>Kingdom of God is translated to [[Latin]] as ''Regnum Dei'' and Kingdom of Heaven as ''Regnum caelorum''. See ''A Primer of Ecclesiastical Latin'' by John F. Collins (Aug 1985) ISBN 0813206677 page 176</ref>

Hata katika hilo [[Agano Jipya]] limeendeleza [[Agano la Kale]], ambapo [[Mungu]] anatangazwa kuwa [[mfalme]] wa [[ulimwengu]]<ref name=Wright>{{cite book |first1=R. T. |last1=France |authorlink1=R. T. France |chapter=Kingdom of God |chapterurl=https://books.google.com/books?id=I8UWJohMGUIC&pg=PA420 |pages=420–2 |editor1-first=Kevin J. |editor1-last=Vanhoozer |editor2-first=Craig G. |editor2-last=Bartholomew |editor3-first=Daniel J. |editor3-last=Treier |editor4-first=Nicholas Thomas |editor4-last=Wright |year=2005 |title=Dictionary for Theological Interpretation of the Bible |location=Grand Rapids |publisher=Baker Book House |isbn=978-0-8010-2694-2}}</ref><ref name=Image478>''Dictionary of Biblical Imagery'' by Leland Ryken, James C. Wilhoit and Tremper Longman III (Nov 11, 1998) ISBN 0830814515 pages 478-479</ref><ref name=Mays>''Psalms: Interpretation'' by James Mays 2011 ISBN 0664234399 pages 438-439</ref> akiwa na mwakilishi, [[Daudi]] na watawala wa [[ukoo]] wake, kwa namna ya pekee [[Masiya]], [[Mwana wa Daudi]] aliyetarajiwa.

[[Biblia]] inatangazwa kwamba hatimaye Mungu atawahukumu watu wote kadiri walivyokubali au kukataa [[mamlaka]] yake<ref>"The Hebrew word ''malkuth'' [...] refers first to a reign, dominion, or rule and only secondarily to the realm over which a reign is exercised. [...] When ''malkuth'' is used of God, it almost always refers to his authority or to his rule as the heavenly King." See George Eldon Ladd, ''The Presence of the Future: The Eschatology of Biblical Realism'', Eerdmans (Grand Rapids: 1974), 46–47.</ref>. Juu ya msingi wa madondoo mbalimbali wa Agano Jipya, [[Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli]] inathibitisha kwamba hukumu hiyo itafanywa kwa njia ya Yesu. Pia kwa sababu hiyo mwenyewe alipenda kujiita "Mwana wa Mtu" kadiri ya [[njozi]] ya [[Kitabu cha Danieli|Danieli]].

[[Madhehebu]] ya [[Ukristo]] leo yanatofautiana sana katika kuelewa na kueleza mada hiyo.

==Tanbihi==
{{Reflist|2}}

==Viungo vya nje==
* [http://www.newadvent.org/cathen/08646a.htm Catholic Encyclopedia: Kingdom of God]
* [http://jewishencyclopedia.com/view.jsp?artid=225&letter=K Jewish Encyclopedia: Kingdom of God]
* [http://www.sacrednamebible.com/kjvstrongs/STRGRK9.htm Strong’s Greek Dictionary]
*{{cite journal |first=Martin J. |last=Selman |title=The Kingdom of God in the Old Testament |journal=Tyndale Bulletin |volume=40 |issue=2 |year=1989 |pages=161–83 |url=http://www.tyndalehouse.com/tynbul/library/TynBull_1989B_40_01_Selman_KingdomOfGodInOT.pdf}}
{{mbegu-Ukristo}}

[[Category:Teolojia]]
[[Jamii:Mungu]]

Pitio la 17:04, 12 Septemba 2018

Westphalia, Ujerumani, mwisho wa karne ya 15.]] 

[[File:Christ Handing the Keys to St. ,ufalme Wa Mbinguni[mathayo22:1]nakuendele Inaelezea Vizuri Mfano Mzuri Kuusu Ufalme Wambinguni Ulivyo. |Yesu akimpa Mtume Petro funguo za ufalme wa mbinguni (Math 16:18),[1] kadiri walivyochorwa na Pietro Perugino, 1492.]]

Malaika akipuliza tarumbeta ya mwisho kwa ajili ya hukumu kadiri ya 1Kor 15:52, Langenzenn, Ujerumani, karne ya 19.

Ufalme wa Mungu (au Ufalme wa mbinguni unavyoitwa hasa katika Injili ya Mathayo) ni mojawapo kati ya mada kuu za ujumbe wa Yesu Kristo katika Injili .<ref name=France101>The Gospel of

  1. The Gospel of Matthew (Sacra Pagina Series, Vol 1) by Dainel J. Harrington 1991 ISBN 978-0-8146-5803-1 page 248