Susan Mashibe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Suzan mashibe''' anakumbuka nyakati muhimu sana zilizowahi kutokea kwenye maisha yake wakati yeye akiwa na umri wa miaka minne tu, amesimama uwanja wa ndege...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Suzan mashibe'''(alizaliwa tar.) ni Mkurugenzi na muasisi wa kampuni ya Tanjet, kampuni ya ya kimataifa na ya kwanza ya aina yake nchini [[Tanzania]] inayoshughulikia masuala ya kiufundi katika ndege binafsi, za biashara na hata za kidiplomasia.<ref>https://www.blackentrepreneurprofile.com/profile-full/article/susan-mashibe/</ref>
'''Suzan mashibe''' anakumbuka nyakati muhimu sana zilizowahi kutokea kwenye maisha yake wakati yeye akiwa na umri wa miaka minne tu, amesimama uwanja wa ndege wa Kigoma nchini [[Tanzania]], ameshikwa mkono wa bibi yake akiangalia ndege iliyowachukua wazazi wake ikipaa angani.Ulikuwa ni wakati mzuri sana kwake na Susan anakumbuka waziwazi: "Kama ndege iliyobeba familia yangu iliondoka, sikulia.Walakini, nilitaka nipate kurusha ndege mwenyewe, ili wazazi wangu wasiniache nyuma tena. ".
==maisha yake==

katika umri wa miaka minne alitamani kuendesha ndege,na badaye katika umri wa miaka 19 akaenda kusoma marekani katika chuo cha western Michigan.baada ya tukio la septemba 11 2001,susan aliamua kurudi nyumbani na baadaye mwaka 2003 alianzisha kampuni ya Tanjet ambayo kwa sasa inaitwa VIA.<ref>https://daughtersofafrica.org/susan-mashibe-founder-owner-tanzanite-jet-centre-ltd-dba-via-aviation/</ref>
Wakati huo muhimu ni mabadiliko ya maisha yake kwa ujumla na iliweza kumchukua safari kutoka utoto wake mjini Mwanza na Dar es Salaam kujifunza,Pia kujifunza katika Chuo Kikuu cha Magharibi Michigan na kuhitimu hatimaye kuwa mwanamke wa kwanza wa FAA wa [[Tanzania]]. Hata hivyo, hilo halikuwa mwisho wa ndoto zake, bali mwanzo wa sura inayofuata ili kutimiza hatima yake ya ujasiriamali.<ref>http://www.lionessesofafrica.com/blog/2014/12/23/startup-story-susan-mashibe</ref>





==Elimu yake==
Susan, katika umri wa miaka 19, aliondoka nchini Tanzania kuelekea [[Marekani]],kusoma katika [[chuo]] cha [[Western Michigan]] na alipomaliza akatunikiwa cheti cha FAA cha uhandisi na Urubani wa ndege.<ref>https://www.weforum.org/people/susan-mashibe</ref>
==Mafanikio yake==
Mashibe, amekuwa ndiye mwanamke wa kwanza nchini Tanzania kutambulika na FAA kama Mhandisi na Rubani wa ndege,
==marejeo==
==marejeo==
[[Category:Wiki Loves Women Tanzania]]
[[Category:Wiki Loves Women Tanzania]][[Category:Wanawake wa Tanzania]]

Pitio la 00:07, 12 Septemba 2018

Suzan mashibe(alizaliwa tar.) ni Mkurugenzi na muasisi wa kampuni ya Tanjet, kampuni ya ya kimataifa na ya kwanza ya aina yake nchini Tanzania inayoshughulikia masuala ya kiufundi katika ndege binafsi, za biashara na hata za kidiplomasia.[1]

maisha yake

katika umri wa miaka minne alitamani kuendesha ndege,na badaye katika umri wa miaka 19 akaenda kusoma marekani katika chuo cha western Michigan.baada ya tukio la septemba 11 2001,susan aliamua kurudi nyumbani na baadaye mwaka 2003 alianzisha kampuni ya Tanjet ambayo kwa sasa inaitwa VIA.[2]


Elimu yake

Susan, katika umri wa miaka 19, aliondoka nchini Tanzania kuelekea Marekani,kusoma katika chuo cha Western Michigan na alipomaliza akatunikiwa cheti cha FAA cha uhandisi na Urubani wa ndege.[3]

Mafanikio yake

Mashibe, amekuwa ndiye mwanamke wa kwanza nchini Tanzania kutambulika na FAA kama Mhandisi na Rubani wa ndege,

marejeo

  1. https://www.blackentrepreneurprofile.com/profile-full/article/susan-mashibe/
  2. https://daughtersofafrica.org/susan-mashibe-founder-owner-tanzanite-jet-centre-ltd-dba-via-aviation/
  3. https://www.weforum.org/people/susan-mashibe