Irene Sanga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11: Mstari 11:





{{Mbegu-msanii-vipaji}}
[[jamii: wasanii wakike nchini Tanzania]]
[[jamii: wasanii wakike nchini Tanzania]]
[[jamii: wasanii wenye vipaji ]]
[[jamii: wasanii wenye vipaji ]]

Pitio la 15:56, 9 Septemba 2018

Irene Sanga ni mojawapo kati ya wasanii wa muziki nchini Tanzania aliyefahamika kwa utunzi wa wimbo wake uiitwao salamu kwa mjomba uliyo imbwa na Mrisho Mpoto[1]

Maisha yake ya sanaa

Amekuwa na vipaji mbalimbali katika saanaa kama uchezaji, uandishi , uimbaji, mwandishi wa maishairi,na msimuliaji wa hadithi .Amewahi kutengeneza filamu ambayo inaeleza asili ya mlima unayopatika Mkoa wa Morogoro, mlima huo unaitwa Kolelo hivyo basi aliipatia jina ya hiyo filamu kama Kolelo. Pia anakipaji cha uandishi ameandika kipindi maalumu cha watoto katika television kiitwacho kilimani Sesame pia katika uandishi wa filamu kuna filamu iitwayo chaguo ambayo ndiye yeye aliyeiandika ilikuwa inahusu kuchagua mpenzi mmoja katika mahusiano kwa kujikinga katika maambukizo ya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI.[2]

Mafunzo

Amekuwa akihudhuria mafunzo ya muziki ndani na nje ya Tanzania kama KIFF (KENYA)’’, ZIFF (ZANZIBAR)’’[3]


Marejeo

  1. https://globalpublishers.co.tz/irene-sanga-si
  2. https://kampalainternationaltheatrefestival.com/irene-sanga/
  3. http://www.ziff.or.tz/2013/06/14/workshop-participants-selected/