Basi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 4: Mstari 4:

Vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali, kwa mfano kuna mabasi madogo yanayobeba [[abiria]] wachache na kusafiri [[umbali]] wa kawaida, pia kuna mabasi makubwa yenye kubeba [[watu]] wengi kuanzia [[hamsini]] na kuendelea na [[mabasi]] hayo husafiri umbali mrefu: yanaweza kusafiri kutoka [[nchi]] moja kwenda nchi nyingine bila kumpumzishwa.

Katika utamaduni mwingine maneno haya yana maana tofauti, mfano nchini Uingereza ina maana pana, ina maana wakati unapoondoa mtoto kutoka nyumbani kwa mara ya kwanza inayojulikana kama [https://prestigeprams.co.uk/blogs/baby-travel-articles/baby-travel-tips-for-venturing-out-the-house uzoefu wa kusafiri mtoto].

Katika [[dunia]] ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali.
Katika [[dunia]] ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha [[wafanyakazi]] na [[wafanyabiashara]] katika [[nchi]] mbalimbali.

Pitio la 11:23, 29 Agosti 2018

Basi dogo huko Novoaltaisk.
Basi la masafa marefu huko Krakow, Polandi.

Basi (kutoka Kiingereza "bus") ni chombo cha usafiri kinachotumika kusafirisha watu kutoka eneo moja kwenda eneo jingine kwa ajili ya shughuli mbalimbali, kwa mfano kazi, masomo, utafiti na kadhalika.

Vyombo hivi vipo vya aina mbalimbali, kwa mfano kuna mabasi madogo yanayobeba abiria wachache na kusafiri umbali wa kawaida, pia kuna mabasi makubwa yenye kubeba watu wengi kuanzia hamsini na kuendelea na mabasi hayo husafiri umbali mrefu: yanaweza kusafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine bila kumpumzishwa.

Katika utamaduni mwingine maneno haya yana maana tofauti, mfano nchini Uingereza ina maana pana, ina maana wakati unapoondoa mtoto kutoka nyumbani kwa mara ya kwanza inayojulikana kama uzoefu wa kusafiri mtoto.

Katika dunia ya sasa mabasi yanatumika sana katika shughuli mbalimbali, kwa mfano shughuli za kiuchumi kwa kusafirisha wafanyakazi na wafanyabiashara katika nchi mbalimbali.

Kwa msaada wa vyombo hivyo watu wanaweza kufika sehemu nyingi kwa wakati na kwenye kazi zao kwa wakati; hali hii imesaidia kwa kiasi kikubwa kukuza uchumi wa nchi nyingi duniani.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.