Vincent Janssen : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:20160604 AUT NED 8898.jpg|alt=Vincent Janssen|thumb|Vincent Janssen]]
[[Picha:20160604 AUT NED 8898.jpg|alt=Vincent Janssen|thumb|Vincent Janssen]]
'''Vincent Petrus Anna Sebastiaan Janssen''' (aliyezaliwa [[Juni 15]], [[1994]]) ni mchezaji wa [[Uholanzi]] mtaalam wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza ya Ligi Kuu [[Tottenham Hotspurs]] na timu ya kitaifa ya [[Uholanzi]]. Alipewa tuzo ya [[2016]] ''Johan Cruyff Trophy'', tuzo ya Uholanzi ya "''Talent of the year''".
'''Vincent Petrus Anna Sebastiaan Janssen''' (aliyezaliwa [[Juni 15]], [[1994]]) ni [[mchezaji]] wa [[mpira wa miguu]] wa [[Uholanzi]] ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa [[klabu]] ya [[Ligi Kuu]] ya [[Uingereza]] [[Tottenham Hotspurs]] na [[timu ya taifa]] ya [[Uholanzi]].
Alipewa tuzo ya [[2016]] ''Johan Cruyff Trophy'', tuzo ya Uholanzi ya "''Talent of the year''".
{{vyanzo}}
{{vyanzo}}
{{mbegu-cheza-mpira}}
{{mbegu-cheza-mpira}}
{{BD|1994|}}
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Uholanzi]]

Toleo la sasa la 10:41, 27 Agosti 2018

Vincent Janssen
Vincent Janssen

Vincent Petrus Anna Sebastiaan Janssen (aliyezaliwa Juni 15, 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uholanzi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Tottenham Hotspurs na timu ya taifa ya Uholanzi.

Alipewa tuzo ya 2016 Johan Cruyff Trophy, tuzo ya Uholanzi ya "Talent of the year".

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Janssen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.