Topolojia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
sahihisho |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Mug and Torus morph.gif|300px|thumb|Kikombe |
[[Picha:Mug and Torus morph.gif|300px|thumb|Kikombe kinageuka kuwa "torus"; nafasi ileile kwa maumbo tofauti]] |
||
'''Topolojia''' (kutoka [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]]: τόπος, tópos, "mahali", na λόγος, lógos, "elimu") ni [[tawi]] la somo la [[hisabati]]. |
|||
⚫ | |||
⚫ | |||
Somo hili limegawanyika katika matawi kadhaa, ambayo ni: topolojia ya ki[[aljebra]], topolojia ya kutofautisha na topolojia ya ki[[jiometri]]. |
Somo hili limegawanyika katika matawi kadhaa, ambayo ni: topolojia ya ki[[aljebra]], topolojia ya kutofautisha na topolojia ya ki[[jiometri]]. |
||
== Marejeo== |
|||
* Walter Rudin, "Real and Complex Analysis", McGraw-Hill, Mladinska Knjiga, 1970. ISBN 0-07-054234-1 |
|||
* John L. Kelley, ''General topology'', Springer-Verlag, 1975. ISBN 0-387-90125-6 |
|||
{{mbegu-sayansi}} |
{{mbegu-sayansi}} |
||
[[Jamii:Jiometria]] |
[[Jamii:Jiometria]] |
Toleo la sasa la 09:54, 27 Agosti 2018
Topolojia (kutoka maneno ya Kigiriki: τόπος, tópos, "mahali", na λόγος, lógos, "elimu") ni tawi la somo la hisabati.
Linaelezea tabia za nafasi ambazo haziathiriwi na mabadiliko endelevu ya maumbo yao, kama vile mkunjuo au fundo.
Somo hili limegawanyika katika matawi kadhaa, ambayo ni: topolojia ya kialjebra, topolojia ya kutofautisha na topolojia ya kijiometri.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Walter Rudin, "Real and Complex Analysis", McGraw-Hill, Mladinska Knjiga, 1970. ISBN 0-07-054234-1
- John L. Kelley, General topology, Springer-Verlag, 1975. ISBN 0-387-90125-6
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Topolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |