Fomula : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
masahihisho na nyongeza
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
Katika hisabati au sayansi '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika alama za ki[[aljebra]].
Katika [[hisabati]] au [[sayansi]] '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika [[alama]] za ki[[aljebra]].

Fomula hutumia [[herufi]] au alama za pekee (kama [[π]]) badala ya [[neno|maneno]]. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sawa na y, kwa hiyo, y = 1.

Mstari 5: Mstari 5:
*[[Fomula za hisabati]]: Fomula mashuhuri katika hisabati ni [[uhakiki wa Pythagoras]] '''a<sup>2</sup> + b<sup>2</sup>=c<sup>2</sup>''' inayomaanisha ya kwamba kwenye [[pembetatu mraba]] jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye [[pembemraba]] ''(cathetus)'' ni sawa na mraba juu ya kiegema (''hypotenuse'', upande usiounganishwa na [[pembemraba]]).

*[[Fomula za fizikia]]: Fomula mashuhuri katika fizikia ni fomula ya [[nishati]], '''e = mc<sup>2</sup>''' , iliyoundwa na [[Albert Einstein]]. e inawakilisha [[nishati]], m inawakilisha uzito na c ni kasi ya [[mwanga]]. Hivyo, nishati = uzito× kasi ya mwanga mraba.
*[[Fomula za fizikia]]: Fomula mashuhuri katika [[fizikia]] ni fomula ya [[nishati]], '''e = mc<sup>2</sup>''' , iliyoundwa na [[Albert Einstein]]. e inawakilisha [[nishati]], m inawakilisha [[uzito]] na c ni [[kasi]] ya [[mwanga]]. Hivyo, nishati = uzito × [[kasi ya mwanga]] [[mraba]].

*[[Fomula za kemia]] hueleza uhusiano baina [[elementi]] ndani ya [[molekuli]]. Fomula mashuhuri ya kemia ni '''H<sub>2</sub>O''' kwa maji: [[atomi]] 2 za [[hidrojeni]] pamoja na atomi 1 ya [[oksijeni]] huunda [[molekuli]] 1 ya [[maji]]

*[[Fomula za kemia]] hueleza uhusiano baina ya [[elementi]] ndani ya [[molekuli]]. Fomula mashuhuri ya [[kemia]] ni '''H<sub>2</sub>O''' kwa [[maji]]: [[atomi]] 2 za [[hidrojeni]] pamoja na atomi 1 ya [[oksijeni]] huunda [[molekuli]] 1 ya [[maji]]
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Hisabati]]
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Fizikia]]

Toleo la sasa la 14:23, 26 Agosti 2018

Katika hisabati au sayansi fomula ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra.

Fomula hutumia herufi au alama za pekee (kama π) badala ya maneno. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sawa na y, kwa hiyo, y = 1.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fomula kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.