Fomula : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Katika hisabati au sayansi '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra. Fomula kutumia herufi badala ya maneno. Mfano rahisi wa f...' |
masahihisho na nyongeza |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
Katika hisabati au sayansi '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika alama za ki[[aljebra]]. |
Katika hisabati au sayansi '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika alama za ki[[aljebra]]. |
||
⚫ | |||
Fomula hutumia [[herufi]] au alama za pekee (kama [[π]]) badala ya [[neno|maneno]]. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sawa na y, kwa hiyo, y = 1. |
|||
{{mbegu-hisabati}} |
|||
*[[Fomula za hisabati]]: Fomula mashuhuri katika hisabati ni [[uhakiki wa Pythagoras]] '''a<sup>2</sup> + b<sup>2</sup>=c<sup>2</sup>''' inayomaanisha ya kwamba kwenye [[pembetatu mraba]] jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye [[pembemraba]] ''(cathetus)'' ni sawa na mraba juu ya kiegema (''hypotenuse'', upande usiounganishwa na [[pembemraba]]). |
|||
⚫ | |||
*[[Fomula za kemia]] hueleza uhusiano baina [[elementi]] ndani ya [[molekuli]]. Fomula mashuhuri ya kemia ni '''H<sub>2</sub>O''' kwa maji: [[atomi]] 2 za [[hidrojeni]] pamoja na atomi 1 ya [[oksijeni]] huunda [[molekuli]] 1 ya [[maji]] |
|||
[[Jamii:Hisabati]] |
|||
[[Jamii:Kemia]] |
Pitio la 18:15, 25 Agosti 2018
Katika hisabati au sayansi fomula ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra.
Fomula hutumia herufi au alama za pekee (kama π) badala ya maneno. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sawa na y, kwa hiyo, y = 1.
- Fomula za hisabati: Fomula mashuhuri katika hisabati ni uhakiki wa Pythagoras a2 + b2=c2 inayomaanisha ya kwamba kwenye pembetatu mraba jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye pembemraba (cathetus) ni sawa na mraba juu ya kiegema (hypotenuse, upande usiounganishwa na pembemraba).
- Fomula za fizikia: Fomula mashuhuri katika fizikia ni fomula ya nishati, e = mc2 , iliyoundwa na Albert Einstein. e inawakilisha nishati, m inawakilisha uzito na c ni kasi ya mwanga. Hivyo, nishati = uzito× kasi ya mwanga mraba.