Topolojia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Topolojia''' ni somo ambalo lilojihusisha na mpangilio wa anga, jinsi vitu vimeundwa kwa kuangalia nafasi yake. Pia tunajifunza jinsi anga lilivyounganis...' |
sahihisho |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Mug and Torus morph.gif|300px|thumb|Kikombe kinageukiwa kuwa "torus"; nafasi ileile kwa maumbo tofauti]] |
|||
⚫ | |||
'''Topolojia''' ni somo tawi ndani elimu ya [[jiometria]]. Linaelezea tabia za nafasi ambazo haziathiriwi na mabadiliko endelevu ya maumbo yao, kama vile mkunjuo au fundo. |
|||
⚫ | |||
{{mbegu-sayansi}} |
{{mbegu-sayansi}} |
||
[[Jamii:Jiometria]] |
Pitio la 15:09, 25 Agosti 2018
Topolojia ni somo tawi ndani elimu ya jiometria. Linaelezea tabia za nafasi ambazo haziathiriwi na mabadiliko endelevu ya maumbo yao, kama vile mkunjuo au fundo.
Somo hili limegawanyika katika matawi kadhaa, ambayo ni: topolojia ya kialjebra, topolojia ya kutofautisha na topolojia ya kijiometri.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Topolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |