Fomula : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Katika hisabati au sayansi '''fomula''' ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra. Fomula kutumia herufi badala ya maneno. Mfano rahisi wa f...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:04, 25 Agosti 2018

Katika hisabati au sayansi fomula ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra. Fomula kutumia herufi badala ya maneno. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sawa na y, kwa hiyo, y = 1. Njia inayojulikana zaidi ni fomula ya nishati, e = mc2 , iliyoundwa na Albert Einstein. e inawakilisha nishati, m inawakilisha uzito na c ni kasi ya mwanga. Hivyo, nishati = uzito× kasi ya mwanga mraba.

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fomula kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.