Maximinus Thrax : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: bg, cy, da, de, eo, es, et, eu, fi, fr, gl, he, hr, it, ja, ka, la, nl, no, pl, pt, ru, sr, sv, tr
Kaisari --> Kaizari
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Max thrax.jpg|thumb|right|Kaisari Maximinus Thrax]]
[[Image:Max thrax.jpg|thumb|right|Kaizari Maximinus Thrax]]


'''Gaius Iulius Verus Maximinus''' au '''Maximinus Thrax''' (takriban [[173]] – Aprili [[238]]) alikuwa [[Kaisari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[20 Machi]], [[235]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Alexander Severus]]. Kwa vile hakukaa katika [[mji wa Roma]], kulikuwa na makaisari wengi walioasi dhidi yake, kama [[Gordian I|babu]], [[Gordian II|baba]] na [[Gordian III|mwana]] wa akina '''Gordian''', au [[Balbinus]] na [[Pupienus]].
'''Gaius Iulius Verus Maximinus''' au '''Maximinus Thrax''' (takriban [[173]] – Aprili [[238]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[20 Machi]], [[235]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Alexander Severus]]. Kwa vile hakukaa katika [[mji wa Roma]], kulikuwa na makaizari wengi walioasi dhidi yake, kama [[Gordian I|babu]], [[Gordian II|baba]] na [[Gordian III|mwana]] wa akina '''Gordian''', au [[Balbinus]] na [[Pupienus]].


{{mbegu}}
{{mbegu}}


{{DEFAULTSORT:Maximinus Thrax}}
{{DEFAULTSORT:Maximinus Thrax}}
[[Category:Makaisari wa Roma]]
[[Category:Makaizari wa Roma]]
[[Category:Waliozaliwa 173]]
[[Category:Waliozaliwa 173]]
[[Category:Waliofariki 238]]
[[Category:Waliofariki 238]]

Pitio la 19:09, 7 Januari 2008

Kaizari Maximinus Thrax

Gaius Iulius Verus Maximinus au Maximinus Thrax (takriban 173 – Aprili 238) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Machi, 235 hadi kifo chake. Alimfuata Alexander Severus. Kwa vile hakukaa katika mji wa Roma, kulikuwa na makaizari wengi walioasi dhidi yake, kama babu, baba na mwana wa akina Gordian, au Balbinus na Pupienus.