Tofauti kati ya marekesbisho "Ufunguo"

Jump to navigation Jump to search
14 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[File:Anglo - Viking Key, Circa 900AD.JPG|thumb|Ufunguo wa [[Waviking]] wa [[Uingereza]] ([[900]] hivi [[BK]])]]
[[File:Kathmandu-05.JPG|thumb|Kufuli za [[karne za kati]] huko [[Kathmandu]] ([[Nepal]]).]]
'''Ufunguo''' (kutoka [[kitenzi]] "kufunga", kinyume chake "kufungua") ni [[kifaa]] kinachotumika kufungulia au kufungia [[mlango]] au, [[kufuli]] n.k.
 
Kwa sababu hiyo, mara nyingi huchukuliwa kama [[ishara]] ya kumiliki [[nyumba]], [[sanduku]] n.k. Mwambatanisho wa kufuli na ufunguo huchangia katika [[ulinzi]] kwa maana ni mwenye ufunguo peke yake anayeweza kufungua [[kitasa]] au kufuli.
 
== Historia ya ufunguo ==
[[Historia]] ya ufunguo yafananainafanana na ile ya kufuli maana zote zilitengenezwa kwa pamoja. Kufuli na ufunguo wa kwanza zilipatikana kule [[Ninawi]], [[Assyria]].<ref>{{cite book|last=de Vries, N. Cross and D. P. Grant|first=M. J.|title=Design Methodology and Relationships with Science: Introduction|year=1992|publisher=Kluwer Academic Publishers|location=Eindhoven|page=32|url=https://books.google.com/books?id=4T8U_J1h7noC|deadurl=no|archiveurl=https://web.archive.org/web/20160424073019/https://books.google.com/books?id=4T8U_J1h7noC|archivedate=24 April 2016|df=dmy-all}}</ref> Baadaye, mwambatanisho huo ulipatikana nchini [[Misri]].<ref>{{cite book|last=Ceccarelli|first=Marco|title=International Symposium on History of Machines and Mechanisms|year=2004|publisher=Kluwer Academic Publishers|location=New York|isbn=1402022034|page=43|url=https://books.google.com/books?id=UG0RlFBqwrgC|deadurl=no|archiveurl=https://web.archive.org/web/20160426132106/https://books.google.com/books?id=UG0RlFBqwrgC|archivedate=26 April 2016|df=dmy-all}}</ref>
 
Baada ya mfumo huu wa ulinzi kuitikiwa na wote, [[uvumbuzi]] uliendelezwa na [[teknolojia]] pia kutumika katika kuboresha kufuli na funguo.
 
== Funguo za kisasa ==
[[Picha:Standard-lock-key.jpg|250px|thumb|Ufunguo wa kawaida wa kisasa.]]
Funguo za leo zina ulinzi mwingi kuliko ule wa zamani. [[mwizi|Wezi]] waliweza kufungua na kuingia kwenye [[nyumba]] za kufuli za kitambo maana zilitengenezwa kwa teknolojia dhaifu.
 
Hivi leo, teknolojia ni nzuri na ni vigumu (hata kama bado itafanyika) kufungua kufuli kwa ufunguo usiodhaminiwa kufanya hivyo. Pia kuna teknolojia ambayo inazuia mtu kutengeneza nakala ya ufunguo bila ruhusa ya mwenye ufunguo. <ref>[https://www.locksmith.id.au/restricted-key-system/ - Restricted Master Key]</ref>
 
Pia kumekuwa na kufuli zisizohitaji ufunguo wa kawaida bali tu kubofya kwa [[nambari]]. [[Mlango|Milango]] hii ni kama ile ya [[karakana]] za [[gari]], ya milango ya nyumba na [[kampuni]].
 
Kuna milango pia ambayo hufunguliwa kwa njia ya [[Elektroniki|kieletroniki]] baada ya kutambua anayejaribu kufungua.
* [https://snorezing.com/best-electronic-deadbolt-locks/ Best Keyless door locks]
 
{{mbegutech-stub}}
 
[[Jamii:utamaduniVifaa]]

Urambazaji