Chotara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Coloured-family.jpg|right|thumb|370px|[[Familia]] pana ya kichotara ya [[Afrika Kusini]] ikionyesha tofauti katika [[rangi]] ya [[ngozi]] na nyinginezo.]]
[[File:Coloured-family.jpg|right|thumb|370px|[[Familia]] pana ya kichotara ya [[Afrika Kusini]] ikionyesha tofauti katika [[rangi]] ya [[ngozi]] na nyinginezo.]]
[[File:Official portrait of Barack Obama.jpg|thumb|right|[[Barack Obama]], [[rais]] wa [[Marekani]] ([[2008]]-[[2016]]) ni chotara, kwa sababu baba yake alikuwa [[Wajaluo|Mjaluo]] wa [[Kenya]] na mama alikuwa na asili ya [[Ulaya]].]]
[[File:Official portrait of Barack Obama.jpg|thumb|right|[[Barack Obama]], [[rais]] wa [[Marekani]] ([[2008]]-[[2016]]) ni chotara, kwa sababu baba yake alikuwa [[Wajaluo|Mjaluo]] wa [[Kenya]] na mama alikuwa na asili ya [[Marekani]].]]
'''Chotara''' (kutoka [[Kihindi]]) au '''shombe''' ni [[kiumbe hai]] ambacho kimetokana na [[Kabila|makabila]] zaidi ya moja ya [[spishi]] yake. Kwa mfano, [[binadamu]] ambaye alizaliwa na [[baba]] [[Mzungu]] na [[mama]] [[Mwafrika]] anaitwa hivyo.<ref>"Not surprisingly, chemomedical scientists are divided in their opinions about race. Some characterize it as 'biologically meaningless' or 'not based on scientific evidence', whereas others advocate the use of race in making decisions about medical treatment or the design of research studies." {{cite journal

|url=http://www.nature.com/ng/journal/v36/n11s/full/ng1435.html
|url=http://www.nature.com/ng/journal/v36/n11s/full/ng1435.html
Mstari 44: Mstari 44:
* [http://www.projectrace.com ProjectRACE], an organization leading the movement for a multiracial classification
* [http://www.projectrace.com ProjectRACE], an organization leading the movement for a multiracial classification

;Asasi za kutetea haki za binadamu
;Asasi za kutetea haki za chotara
* [http://www.ameasite.org Association of MultiEthnic Americans, Inc.], US
* [http://www.ameasite.org Association of MultiEthnic Americans, Inc.], US
* [http://www.blendedpeopleamerica.com Blended People of America], US-based nonprofit organization representing the interests of the mixed-race community
* [http://www.blendedpeopleamerica.com Blended People of America], US-based nonprofit organization representing the interests of the mixed-race community

Pitio la 03:54, 24 Agosti 2018

Familia pana ya kichotara ya Afrika Kusini ikionyesha tofauti katika rangi ya ngozi na nyinginezo.
Barack Obama, rais wa Marekani (2008-2016) ni chotara, kwa sababu baba yake alikuwa Mjaluo wa Kenya na mama alikuwa na asili ya Marekani.

Chotara (kutoka Kihindi) au shombe ni kiumbe hai ambacho kimetokana na makabila zaidi ya moja ya spishi yake. Kwa mfano, binadamu ambaye alizaliwa na baba Mzungu na mama Mwafrika anaitwa hivyo.[1]

Katika lugha mbalimbali kuna majina maalumu kwa aina za machotara: kwa mfano katika Kihispania kuna Mulato, zambo na mestizo, katika Kireno kuna mulato, caboclo, cafuzo, ainoko na mestiço.

Pengine sensa zinauliza asili ya wakazi, zikiacha nafasi ya kutaja asili zaidi ya moja.

Tanbihi

  1. "Not surprisingly, chemomedical scientists are divided in their opinions about race. Some characterize it as 'biologically meaningless' or 'not based on scientific evidence', whereas others advocate the use of race in making decisions about medical treatment or the design of research studies." Lynn B. Jorde; Stephen P. Wooding (2004). "Genetic variation, classification and 'race'". Nature Genetics 36 (11 Suppl): S28–S33. PMID 15508000. doi:10.1038/ng1435.  citing Guido Barbujani; Arianna Magagni; Eric Minch; L. Luca Cavalli=Sforza (April 1997). An apportionment of human DNA diversity. Proceedings of the National Academy of Sciences USA 94. pp. 4516–4519. .

Marejeo

Viungo vya nje

  • The Multiracial Activist, an online activist publication registered with the Library of Congress, focused on multiracial individuals and interracial families since 1997
  • ProjectRACE, an organization leading the movement for a multiracial classification
Asasi za kutetea haki za chotara