Viwakilishi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Fixed typo Tags: Mobile edit Mobile web edit |
|||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
'''Kiwakilishi''' (pia: '''viwakilishi''') ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino. Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika. |

||
Mfano: |
Mfano: |
||
*''' |
*'''Hizi''' zimeiva |
||
*''Chake''' kimeliwa |
*''Chake''' kimeliwa |
||
*'''Mimi''' ni mwalimu |
*'''Mimi''' ni mwalimu |
||
Mstari 14: | Mstari 14: | ||
*'''Aliyegongwa''' amepona |
*'''Aliyegongwa''' amepona |
||
Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi. |

==Orodha ya viwakilishi== |
==Orodha ya viwakilishi== |
||
#[[Viwakilishi vya sifa]] |
#[[Viwakilishi vya sifa]] |
Pitio la 09:45, 22 Agosti 2018
Mifano |
---|
|
Kiwakilishi (pia: viwakilishi) ni neno/maneno yanayosimama badala ya nomino. Maneno hayo (viwakilishi) hutumika pale tu ambapo nomino haipo au haikutajwa huenda kwa kuwa imekwisha-tajwa hapo awali au inafahamika katika mazingira husika. Mfano:
- Hizi zimeiva
- Chake' kimeliwa
- Mimi ni mwalimu
- Wote wamepotea
- Aliyegongwa amepona
Wakati mwingine watu hawataji waziwazi majina ya watu wazo, hali au vitu fulani ambavyo wamekwisha-vizungumza/vitaja hapo awali au vinafahamika katika mazingira husika badala yake hutumika maneno mengine kuwakilisha - kusimama badala ya (majina hayo ambayo hawakuyataja) - maneno hayo ndiyo huitwa viwakilishi.
Orodha ya viwakilishi
- Viwakilishi vya sifa
- Viwakilishi vya idadi - vilevile kiasi
- Viwakilishi vya kuuliza
- Viwakilishi vya kuonesha
- Viwakilishi vya nafsi
- Viwakilishi vya kumiliki
- Viwakilishi vya unganifu
- Viwakilishi vya amba
- Viwakilishi vya urejeshi
- Viwakilishi vya pekee
Tazama pia
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |