Mkoa wa Ogooué-Ivindo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 23 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q823822 (translate me)
svg version (GlobalReplace v0.6.5)
Mstari 1: Mstari 1:
{{Unreferenced|date=Desemba 2009}}
{{Unreferenced|date=Desemba 2009}}
[[Picha:Gabon-Ogooue-Ivindo.png|right|175px|Mkoa wa Ogooué-Ivindo]]
[[Picha:Gabon - Ogooué-Ivindo.svg|right|175px|Mkoa wa Ogooué-Ivindo]]
'''Ogooué-Ivindo''' ni mkoa uliopo zaidi mjini kaskazini-mashariki mwa [[mikoa ya Gabon|mikoa]] tisa ya [[Gabon]]. Mji mkuu wa mkoa huu ni [[Makokou]], ambamo ni nyumbani mwa theluthi moja ya idadi ya wakazi wa mkoa huu. Mkoa umejipatia jina lake kutoka kwa mito miwili, [[Ogooué]] na [[Mto Ivindo|Ivindo]]. Mkoa huu ni mkubwa sana, wakazi wachache, na maendeleo duni katika orodha nzima ya mikoa tisa.

Pitio la 20:38, 20 Agosti 2018

Mkoa wa Ogooué-Ivindo
Mkoa wa Ogooué-Ivindo

Ogooué-Ivindo ni mkoa uliopo zaidi mjini kaskazini-mashariki mwa mikoa tisa ya Gabon. Mji mkuu wa mkoa huu ni Makokou, ambamo ni nyumbani mwa theluthi moja ya idadi ya wakazi wa mkoa huu. Mkoa umejipatia jina lake kutoka kwa mito miwili, Ogooué na Ivindo. Mkoa huu ni mkubwa sana, wakazi wachache, na maendeleo duni katika orodha nzima ya mikoa tisa.

  • Eneo: 46,075 km²
  • Kifupisho cha herufi mbili/HASC: GB-OI
  • ISO 3166-2: GB-06
  • Wakazi (1993): 48,862

Upande kusini mwa mkoa huu umepita katika Ikweta. Urefu wake unaendea kutoka 11 E hadi 14 E na upana ni 0.35 S hadi 1 N.

Kwa upande wa kaskazini na magharibi, Ogooué-Ivindo imepakana na mkoa wa Sangha na Cuvette-Ouest ambayo ni mikoa ya Jamhuri ya Kongo. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

Departments

Departments za Ogooué-Ivindo

Ogooué-Ivindo imegawanyika katika departments 4:

Idadi ya wakazi kwa kihistoria

Mwaka Wakazi Badiliko Msongamano
1980 61,281 - 1.33/km²
1993 48,862 -12,419/-20.2% 1.06/km²