Abdullah bin Faisal Al Saud : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{lugha}}
{{lugha}}
{{unsourced|date=Februari 2009}}
{{unsourced|date=Februari 2009}}


{{Saudibox_begin | name = Abdullah al-Faisal Al Saud}}
{{Saudibox_begin | name = Abdullah al-Faisal Al Saud}}
{{Saudibox_ancestry | name = '''Abdullah al-Faisal''' ibn [[Abdul Aziz bin Abdul Rahman | Abd al-Aziz]] ibn [[Abdul Rahman bin Faisal | Abd al-Rahman]] Al Saud}}
{{Saudibox_ancestry | name = '''Abdullah al-Faisal''' ibn [[Abdul Aziz bin Abdul Rahman | Abd al-Aziz]] ibn [[Abdul Rahman bin Faisal | Abd al-Rahman]] Al Saud}}
Mstari 23: Mstari 21:




'''Abdullah bin Faisal Al Saud''' (1922 - 8 Mei 2007) alikuwa mtoto wa kwanza wa marehemu Mfalme wa Saudi, [[Faisal ibn Abdul Aziz]], na Sultana, binti ya Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa ya al-Sudairi familia ya Najd.
'''Abdullah bin Faisal Al Saud''' ([[1922]] - [[8 Mei]] [[2007]]) alikuwa [[mtoto]] wa kwanza wa [[Mfalme]] wa [[Saudia]], [[Faisal ibn Abdul Aziz]], na Sultana, [[binti]] Ahmad ibn Muhammad kutoka katika [[familia]] yenye ushawishi mkubwa wa al-Sudairi familia ya Najd.


==Kazi==
==Kazi==
Alianza huduma yake ya kiserikali kama Viceroy wa [[Hejaz]] mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Maswala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na [[baba yake, Mfalme Faisal]], katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama Waziri wa Afya kutoka 1949-1950 na kama Waziri wa Mambo ya Ndani 1951-1959.
Alianza huduma yake ya kiserikali kama Makamu wa Mfalme wa [[Hejaz]] mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Masuala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na [[baba]] yake, Mfalme Faisal, katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama [[Waziri wa Afya]] kutoka 1949-1950 na kama [[Waziri wa Mambo ya Ndani]] 1951-1959.


Abdullah baadaye alistaafu kutoka [[siasa]] ili kuzingatia maslahi ya [[biashara]] yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni [[Al Faisaliah Group]] ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudia za mseto. Alikuwa Mwenyekiti wa shirika la msaada maarufu la [[King Faisal Foundation]], pia alikuwa [[mshairi]].

Prince Abdullah baadaye alistaafu kutoka siasa ili kuzingatia maslahi ya biashara yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni [[Al Faisaliah Group]] ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudi Arabia za mseto . Alikuwa Mwenyekiti wa sfirika la msaada maarufu la [[King Faisal Foundation]], na pia alikuwa mshairi.


==Kazi zake.==
==Kazi zake.==
Machapisho yake yamehakikiwa sana ; hayo ni pamoja na:
Machapisho yake yamehakikiwa sana; hayo ni pamoja na:

* ''Mahrum: Min Wahye al Hirman''
* ''Mahrum: Min Wahye al Hirman''
{{mbegu-mwanasiasa}}


{{DEFAULTSORT:Abdullah al Faisal}}
{{DEFAULTSORT:Abdullah al Faisal}}
[[Category:Waliozaliwa 1922]]
[[Category:Waliozaliwa 1922]]
[[Category:Waliofariki 2007]]
[[Category:Waliofariki 2007]]
[[Category:Familia ya kifalme ya Saudi]]
[[Category:Wanasiasa wa Saudia]]
[[Category:Wafanyabiashara wa Saudi Arabia ]]
[[Category:Washairi wa Saudia]]


{{Saudi-bio-stub}}

Pitio la 14:31, 20 Agosti 2018

Abdullah al-Faisal Al Saud
House of Saud
Abdullah al-Faisal ibn Abd al-Aziz ibn Abd al-Rahman Al Saud
Offspring



  • Khalid
  • Muhammad
  • Abdul Rahman
  • Talal
  • Saud
  • Sultan *Bandar
  • Turki
  • Sultana
  • Faisal



Abdullah bin Faisal Al Saud (1922 - 8 Mei 2007) alikuwa mtoto wa kwanza wa Mfalme wa Saudia, Faisal ibn Abdul Aziz, na Sultana, binti Ahmad ibn Muhammad kutoka katika familia yenye ushawishi mkubwa wa al-Sudairi familia ya Najd.

Kazi

Alianza huduma yake ya kiserikali kama Makamu wa Mfalme wa Hejaz mara nyingi akiwa Waziri Msaidizi wa Masuala ya Nje ya Ufalme wakati akiwa na baba yake, Mfalme Faisal, katika safari yake ya kimataifa. Aliwahi kuhudumu pia kama Waziri wa Afya kutoka 1949-1950 na kama Waziri wa Mambo ya Ndani 1951-1959.

Abdullah baadaye alistaafu kutoka siasa ili kuzingatia maslahi ya biashara yake, inayojulikana kwa sana ikiwa ni Al Faisaliah Group ambayo ni miongoni mwa himaya za biashara za Saudia za mseto. Alikuwa Mwenyekiti wa shirika la msaada maarufu la King Faisal Foundation, pia alikuwa mshairi.

Kazi zake.

Machapisho yake yamehakikiwa sana; hayo ni pamoja na:

  • Mahrum: Min Wahye al Hirman
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdullah bin Faisal Al Saud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.