Loki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[file:Processed SAM loki.jpg|250px|thumb|Loki kwenye muswada ya Iceland mnamo karne ya 18]]
[[file:Processed SAM loki.jpg|250px|thumb|Loki kwenye muswada wa [[Iceland]] mnamo [[karne ya 18]].]]
'''Loki''' ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa lugha nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].
'''Loki''' ni [[mungu]] mmojawapo katika masimulizi ya [[mitholojia]] ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa [[lugha]] nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].


Katika mitholojia haya alikuwa mwana wa majitu wawili aliyepokelewa katika nasaba ya miungu ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa maumbo tofautitofauti, mara kama samaki, mara kama inzi. Alikuwa na akili kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa mzazi wa madubwana mbalimbali.
Katika mitholojia hiyo alikuwa [[mwana]] wa [[jitu|majitu]] wawili aliyepokewa katika [[nasaba]] ya [[miungu]] ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa [[Umbo|maumbo]] tofautitofauti, mara kama [[samaki]], mara kama [[nzi]]. Alikuwa na [[akili]] kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa [[mzazi]] wa madubwana mbalimbali.


Mwishoni alisababisha kifo cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard wanaofaulu kumshinda na kumwua.
Mwishoni alisababisha [[kifo]] cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard waliofaulu kumshinda na kumwua.


Katika fasihi ya kisasa Loki ni mhusika katika katuni za [[Marvel Comics]] pamoja filamu zao.
Katika [[fasihi]] ya kisasa Loki ni [[mhusika]] katika [[katuni]] za [[Marvel Comics]] pamoja na [[filamu]] zao.


{{mbegu}}
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Mitholojia]]

Toleo la sasa la 07:11, 15 Agosti 2018

Loki kwenye muswada wa Iceland mnamo karne ya 18.

Loki ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya Skandinavia ya kale au kwa lugha nyingine mitholojia ya mataifa ya Wagermanik ya Kaskazini.

Katika mitholojia hiyo alikuwa mwana wa majitu wawili aliyepokewa katika nasaba ya miungu ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa maumbo tofautitofauti, mara kama samaki, mara kama nzi. Alikuwa na akili kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa mzazi wa madubwana mbalimbali.

Mwishoni alisababisha kifo cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard waliofaulu kumshinda na kumwua.

Katika fasihi ya kisasa Loki ni mhusika katika katuni za Marvel Comics pamoja na filamu zao.