Loki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Der gefesselte Loki.jpg|250px|thumb|Loki aliyefungwa kabla ya mateso yake ya mwisho; jiwe la picha kutoka Uingereza]]
[[file:Processed SAM loki.jpg|250px|thumb|Loki kwenye muswada ya Iceland mnamo karne ya 18]]
'''Loki''' ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa lugha nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].
'''Loki''' ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa lugha nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].



Pitio la 19:56, 14 Agosti 2018

Loki kwenye muswada ya Iceland mnamo karne ya 18

Loki ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya Skandinavia ya kale au kwa lugha nyingine mitholojia ya mataifa ya Wagermanik ya Kaskazini.

Katika mitholojia haya alikuwa mwana wa majitu wawili aliyepokelewa katika nasaba ya miungu ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa maumbo tofautitofauti, mara kama samaki, mara kama inzi. Alikuwa na akili kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa mzazi wa madubwana mbalimbali.

Mwishoni alisababisha kifo cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard wanaofaulu kumshinda na kumwua.

Katika fasihi ya kisasa Loki ni mhusika katika katuni za Marvel Comics pamoja filamu zao.