Loki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
masahihisho
Mstari 1: Mstari 1:
{{futa}}
{{futa}}
'''Loki''' ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya [[Skandinavia]] ya kale au kwa lugha nyingine [[mitholojia]] ya mataifa ya [[Wagermanik|Wagermanik ya Kaskazini]].
'''Loki''' ni mhusika ambaye anajitokeza kama jambazi katika [[filamu]] ya Avengers iliyoundwa na [[Marvel Comics]].Muhusika huyu amejitokeza katika vitabu vya hadithi vilivyoandikwa na [[Stan Lee]],mchoraji [[Jack Kirby]]. Kwa mara ya kwanza alionekana katika filamu iliyoitwa [[Venus no.6]] ([[agosti]] [[1946]]).Muhusika huyu amepewa nguvu za ajabu katika Filamu zake.Loki ni kaka na pia ni adui mkubwa wa [[Thor]] katika filamu za Avengers, [[Thor:the dark world]] na [[Thor]].

Katika mitholojia haya alikuwa mwana wa majitu wawili aliyepokelewa katika nasaba ya miungu ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa maumbo tofautitofauti, mara kama samaki, mara kama inzi. Alikuwa na akili kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa mzazi wa madubwana mbalimbali.

Mwishoni alisababisha kifo cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard wanaofaulu kumshinda na kumwua.

Katika fasihi ya kisasa Loki ni mhusika katika katuni za [[Marvel Comics]] pamoja filamu zao.

Pitio la 19:46, 14 Agosti 2018

Loki ni mungu mmojawapo katika masimulizi ya mitholojia ya Skandinavia ya kale au kwa lugha nyingine mitholojia ya mataifa ya Wagermanik ya Kaskazini.

Katika mitholojia haya alikuwa mwana wa majitu wawili aliyepokelewa katika nasaba ya miungu ya Asgard. Alikuwa na uwezo wa kutokea kwa maumbo tofautitofauti, mara kama samaki, mara kama inzi. Alikuwa na akili kubwa na pamoja na uwezo wake wa kubadilisha umbo alipata sifa kama kielelezo wa ushabaki na hila. Alisemekana pia kuwa mzazi wa madubwana mbalimbali.

Mwishoni alisababisha kifo cha mungu Balder mwana wa miungu mikuu Odin na Frigga. Hivyo alijipatia uadui wa miungu wengine wa Asgard wanaofaulu kumshinda na kumwua.

Katika fasihi ya kisasa Loki ni mhusika katika katuni za Marvel Comics pamoja filamu zao.