Kofia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Kofia za kike. thumb|upright=0.7|Kofia ya tarabushi. '''Kofia''' ni vazi la kichwani lenye ...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Many hats.jpg|right|thumb|Kofia za kike.]]
[[File:Many hats.jpg|right|thumb|Kofia za kike.]]
[[File:Fes.jpg|thumb|upright=0.7|Kofia ya tarabushi.]]
[[File:Fes.jpg|thumb|Kofia ya tarabushi.]]
'''Kofia''' ni [[vazi]] la [[Kichwa|kichwani]] lenye [[umbo]] la [[kikapu]] na ukubwa unaomfaa mhusika.
'''Kofia''' ni [[vazi]] la [[Kichwa|kichwani]] lenye [[umbo]] la [[kikapu]] na ukubwa unaomfaa mhusika.


==Aina za kofia maarufu Afrika Mashariki==
==Aina za kofia maarufu Afrika Mashariki==
*Kofia ya baraghashia: ni ya vitambaa na vitundu vingi vinavyodariziwa kwa kufumwa na uzi wa rangi ya fedha. Jina lake linatokana na jina la sultani Bargashi aliyeliingiza Zanzibar kwa mara ya kwanza.
*Kofia ya [[baraghashia]]: ni ya [[vitambaa]] na ina vitundu vingi [[udarizi|vinavyodariziwa]] kwa kufumwa na [[uzi]] wa [[rangi]] ya [[fedha]]. [[Jina]] lake linatokana na jina la [[sultani]] [[Barghash bin Said wa Zanzibar]] aliyeliingiza [[Unguja]] kwa mara ya kwanza.
*Kofia ya chepeo ina upeto unaofunika sehemu ya mbele
*Kofia ya [[chepeo]] ina upeto unaofunika sehemu ya mbele
*Kofia ya kazi / kofia ya bulibuli ni nyeupe na imedariziwa
*Kofia ya [[kazi]] / kofia ya [[bulibuli]] ni [[nyeupe]] na imedariziwa
*Kofia ya pama ina ukingo mpana unaozunguka pande zote kama kinga dhidi ya ukali wa jua
*Kofia ya [[pama]] ina ukingo mpana unaozunguka pande zote kama kinga dhidi ya ukali wa [[jua]]
*Kofia ya topi haina chepeo na kwa kawaida huvaliwa na wanawake
*Kofia ya [[topi]] haina chepeo na kwa kawaida huvaliwa na [[wanawake]]
*Kofia ya tunga / tarabushi ni ya duara, ya rangi nyekundu na ina tarabushi upande wa nyuma
*Kofia ya tunga / [[tarabushi]] ni ya [[duara]], ya rangi [[nyekundu]] na ina tarabushi upande wa nyuma


{{mbegu-utamaduni}}
{{mbegu-utamaduni}}

Pitio la 12:48, 13 Agosti 2018

Kofia za kike.
Faili:Fes.jpg
Kofia ya tarabushi.

Kofia ni vazi la kichwani lenye umbo la kikapu na ukubwa unaomfaa mhusika.

Aina za kofia maarufu Afrika Mashariki

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kofia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.