UNIX : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''UNIX''' ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta. Ulianzishwa kwanza mwaka 1969 huko Bell Labs na Ken Thompson, Dennis Ritchie, Douglas McIlr...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''UNIX''' ni mfumo wa uendeshaji wa [[kompyuta]]. Ulianzishwa kwanza mwaka [[1969]] huko [[Bell Labs]] na [[Ken Thompson]], [[Dennis Ritchie]], [[Douglas McIlroy]], na wengine wengi.
'''UNIX''' ni mfumo wa uendeshaji wa [[kompyuta]]. Ulianzishwa [[mwaka]] [[1969]] na [[Ken Thompson]], [[Dennis Ritchie]], [[Douglas McIlroy]] na wengine wengi huko [[Bell Labs]]. Walitumia [[lugha]] ya [[msimbo]] au [[ishara]] za ufupisho kuiandika.

Walitumia lugha ya msimbo au ishara za ufupisho kuiandika. Mwaka wa [[1972]], ishara za Unix zilirekebishwa tena na lugha mpya ya programu ya C.
Mwaka wa [[1972]], ishara za Unix zilirekebishwa tena na lugha mpya ya programu ya C.

Mfumo wa uendeshaji wa Unix ni mfumo wa watumiaji wengi na kufanya kazi kutumia [[kichakato]] zaidi ya kimoja. Hii inamaanisha inaweza kuendesha mipango kadhaa ya programu kwa wakati mmoja, kwa mtumiaji zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Pia ina uwezo wa kufanya vizuri katika [[mtandao]] wa [[kompyuta]].
Mfumo wa uendeshaji wa Unix ni mfumo wa watumiaji wengi na kufanya kazi kutumia [[kichakato]] zaidi ya kimoja. Hii inamaanisha inaweza kuendesha mipango kadhaa ya programu kwa wakati mmoja, kwa mtumiaji zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Pia ina uwezo wa kufanya vizuri katika [[mtandao]] wa [[kompyuta]].

Usalama wa kompyuta pia ni muhimu kwenye Unix, kwa sababu watu wengi wanaweza kuitumia hiyo, kwa kutumia kompyuta moja kwa moja au kwenye [[mtandao]].
Usalama wa kompyuta pia ni muhimu kwenye Unix, kwa sababu watu wengi wanaweza kuitumia hiyo, kwa kutumia kompyuta moja kwa moja au kwenye [[mtandao]].


{{tech-stub}}
{{tech-stub}}
[[Jamii:Kompyuta]]

Toleo la sasa la 15:27, 10 Agosti 2018

UNIX ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta. Ulianzishwa mwaka 1969 na Ken Thompson, Dennis Ritchie, Douglas McIlroy na wengine wengi huko Bell Labs. Walitumia lugha ya msimbo au ishara za ufupisho kuiandika.

Mwaka wa 1972, ishara za Unix zilirekebishwa tena na lugha mpya ya programu ya C.

Mfumo wa uendeshaji wa Unix ni mfumo wa watumiaji wengi na kufanya kazi kutumia kichakato zaidi ya kimoja. Hii inamaanisha inaweza kuendesha mipango kadhaa ya programu kwa wakati mmoja, kwa mtumiaji zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Pia ina uwezo wa kufanya vizuri katika mtandao wa kompyuta.

Usalama wa kompyuta pia ni muhimu kwenye Unix, kwa sababu watu wengi wanaweza kuitumia hiyo, kwa kutumia kompyuta moja kwa moja au kwenye mtandao.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.