Kaizari Nerva : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaisari --> Kaizari
d Kaisari Nerva umehamishwa hapa Kaizari Nerva: Maandishi rasmi kulingana na kamusi ya TUKI
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:29, 6 Januari 2008

Kaizari Nerva

Marcus Cocceius Nerva (8 Novemba, 3027 Januari, 98) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 18 Septemba, 96 hadi kifo chake. Alimfuata Domitian.