Hali ya hatari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Hali ya hatari''' ni hali ambayo inawezesha serikali kufanya vitendo ambavyo kwa kawaida hairuhusiwi kufanya. Serikali inaweza kutangaza hali hiyo wakati wa maafa, machafuko ya kiraia au [[vita]]. Tangazo la hali ya hatari huwatahadharisha wananchi kubadilisha maisha yao ya kawaida na huruhusu vyombo vya serikali kutekeleza mipango ya dharura. 
'''Hali ya hatari''' ni hali ambayo inawezesha [[serikali]] kufanya vitendo ambavyo kwa kawaida hairuhusiwi kufanya. Serikali inaweza kutangaza hali hiyo wakati wa maafa, machafuko ya kiraia au [[vita]]. Tangazo la hali ya hatari huwatahadharisha wananchi kubadilisha maisha yao ya kawaida na huruhusu vyombo vya serikali kutekeleza mipango ya dharura. 


Hali ya hatari pia inaweza kutumika kama kisingizio cha kutupilia mbali uhuru na haki zilizotolewa na [[katiba]]. Utaratibu na uhalali wa kufanya hivyo kutofautiana na nchi.
Hali ya hatari pia inaweza kutumika kama kisingizio cha kutupilia mbali uhuru na haki zilizotolewa na [[katiba]]. Utaratibu na uhalali wa kufanya hivyo hutofautiana na nchi.


Katika baadhi ya nchi, ni kinyume cha sheria ya kurekebisha sheria ya hali ya hatari au katiba ya wakati wa hali ya hatari. Katika nchi nyingine kuna uhuru wa kubadilisha sheria yoyote au haki zilizotolewa na katiba wakati wowote bunge inaamua kufanya hivyo.
Katika baadhi ya nchi, ni kinyume cha sheria ya kurekebisha sheria ya hali ya hatari au katiba ya wakati wa hali ya hatari. Katika nchi nyingine kuna uhuru wa kubadilisha sheria yoyote au haki zilizotolewa na katiba wakati wowote bunge inaamua kufanya hivyo.
Mstari 10: Mstari 10:
Mwaka 1952, serikali ya kikoloni ya Kenya, ikiongozwa na [[Evelyn Baring|Bwana Evelyn Baring]], ilitangaza hali ya hatari baada ya waasi wa [[Maumau|Mau Mau]] kuanza vita dhidi ya wazungu na Waafrika waliowaunga mkono. Hali hiyo iliisha mwaka 1960<ref>{{Citation|last=Leander|title=The longest state of emergency in Kenya ends|date=2013-11-07|url=https://www.sahistory.org.za/dated-event/longest-state-emergency-kenya-ends|work=South African History Online|language=en|access-date=2018-08-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://medium.com/@IanEdgarAplin/state-of-emergency-in-kenya-1952-1960-421ed3c0a87d|title=State of Emergency in Kenya, 1952-1960|author=Ian Edgar Aplin|date=2014-06-12|work=Ian Edgar Aplin|accessdate=2018-08-05}}</ref>.
Mwaka 1952, serikali ya kikoloni ya Kenya, ikiongozwa na [[Evelyn Baring|Bwana Evelyn Baring]], ilitangaza hali ya hatari baada ya waasi wa [[Maumau|Mau Mau]] kuanza vita dhidi ya wazungu na Waafrika waliowaunga mkono. Hali hiyo iliisha mwaka 1960<ref>{{Citation|last=Leander|title=The longest state of emergency in Kenya ends|date=2013-11-07|url=https://www.sahistory.org.za/dated-event/longest-state-emergency-kenya-ends|work=South African History Online|language=en|access-date=2018-08-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://medium.com/@IanEdgarAplin/state-of-emergency-in-kenya-1952-1960-421ed3c0a87d|title=State of Emergency in Kenya, 1952-1960|author=Ian Edgar Aplin|date=2014-06-12|work=Ian Edgar Aplin|accessdate=2018-08-05}}</ref>.


[[Katiba ya Kenya]] inakubali hali ya hatari wakati wa maafa ya asilia, vita, machafuko ya kisiasa au hali nyingine yoyote inayohitaji hali ya hatari itangazwe. Rais atatangaza wiki mbili hali hiyo baada ya kupitishwa kwa azimio na wabunge thuluthi mbili. Kuongeza muda wa hali hiyo kunahitaji azimio lipitishwe na wabunge robo tatu. Hata hivyo, katiba inaruhusu mahakama ya upeo kutupilia mbali azimio na sheria yoyote itakayopitishwa katika hali ya hatari. [[Haki za binadamu nchini Kenya|Haki za binadamu]] hazifai kukiukwa kwa muda ambao hali ya hatari itakuwa<ref>{{Cite web|url=http://www.klrc.go.ke/index.php/constitution-of-kenya/114-chapter-four-the-bill-of-rights/part-4-state-of-emergency/224-58-state-of-emergency|title=58. State of emergency - Kenya Law Reform Commission (KLRC)|language=en-gb|work=www.klrc.go.ke|accessdate=2018-08-05}}</ref>.
[[Katiba ya Kenya]] inakubali hali ya hatari wakati wa [[maafa asilia]], vita, machafuko ya kisiasa au hali nyingine yoyote inayohitaji hali ya hatari itangazwe. Rais atatangaza wiki mbili za hali ya hatari baada ya kupitishwa kwa azimio na wabunge thuluthi mbili. Kuongeza muda wa hali hiyo kunahitaji azimio lipitishwe na wabunge robo tatu. Hata hivyo, katiba inaruhusu mahakama ya upeo kutupilia mbali azimio na sheria yoyote itakayopitishwa katika hali ya hatari. [[Haki za binadamu nchini Kenya|Haki za binadamu]] hazifai kukiukwa kwa muda ambao hali ya hatari itakuwa<ref>{{Cite web|url=http://www.klrc.go.ke/index.php/constitution-of-kenya/114-chapter-four-the-bill-of-rights/part-4-state-of-emergency/224-58-state-of-emergency|title=58. State of emergency - Kenya Law Reform Commission (KLRC)|language=en-gb|work=www.klrc.go.ke|accessdate=2018-08-05}}</ref>.

=== Uhabeshi ===
Hali ya hatari katika nchi ya [[Uhabeshi]] ilitangazwa Oktoba mwaka 2016 na aliyekuwa waziri mkuu, [[Haile Mariam Desalegne|Hailemariam Desalegn]], baada ya [[Waoromo]] kuandamana<ref name=":0">{{Citation|title=Legal Analysis of Ethiopia’s State of Emergency|date=2016-10-30|url=https://www.hrw.org/news/2016/10/30/legal-analysis-ethiopias-state-emergency|work=Human Rights Watch|language=en|access-date=2018-08-05}}</ref>. Sheria ya hali ya hatari iliwataka [[Mwanadiplomasia|wanadiplomasia]] kutosafiri zaidi ya km 40 kutoka [[Addis Ababa]], na kutokuwa na mawasiliano na vikundi vilivyosemwa kuwa [[Gaidi|magaidi]]. Pia, sheria hiyo ilipiga marufuku mikutano ya hadharani na kuwapa majeshi ya usalama nguvu za kuwatia ndani waliokiuka sheria hiyo bila idhini ya mahakama<ref>{{Cite web|url=http://www.dw.com/en/ethiopia-regime-unveils-rules-for-state-of-emergency/a-36055101|title=Ethiopia regime unveils rules for state of emergency {{!}} DW {{!}} 16.10.2016|author=Deutsche Welle (www.dw.com)|language=en|work=DW.COM|accessdate=2018-08-05}}</ref><ref name=":0" />. Ilikatizwa Agosti mwaka 2017.

Hali ya hatari ilitangazwa tena Februari mwaka 2018 kwa miezi sita, siku moja baada ya Hailemariam Desalegn kujiuzulu<ref>{{Cite web|url=https://www.dw.com/sw/sheria-ya-hali-ya-hatari-ethiopia-na-migodi-magazetini/a-42710678|title=Sheria ya hali ya hatari Ethiopia na Migodi Magazetini {{!}} DW {{!}} 23.02.2018|author=Deutsche Welle (www.dw.com)|language=sw|work=DW.COM|accessdate=2018-08-05}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://taifaleo.nation.co.ke/index.php/hali-ya-hatari-nchini-ethiopia-kudumu-kwa-miezi-sita-ijayo/|title=Hali ya hatari nchini Ethiopia kudumu kwa miezi sita ijayo – Taifa Leo|language=sw|work=taifaleo.nation.co.ke|accessdate=2018-08-05}}</ref>. Juni mwaka 2018 baada ya bunge kupiga kura kuikatiza hali ya hatari<ref>{{Citation|title=Ethiopia lifts state of emergency|url=https://www.nation.co.ke/news/africa/Ethiopia-lifts-state-of-emergency/1066-4597120-dvef66/index.html|work=Daily Nation|language=en-UK|access-date=2018-08-05}}</ref>.


== Marejeo ==
== Marejeo ==
<references />{{Reflist|30em}}
<references />{{Reflist|30em}}
[[Jamii:Serikali]]
[[Jamii:Serikali]]
[[Jamii:Sheria]]

Pitio la 17:22, 5 Agosti 2018

Hali ya hatari ni hali ambayo inawezesha serikali kufanya vitendo ambavyo kwa kawaida hairuhusiwi kufanya. Serikali inaweza kutangaza hali hiyo wakati wa maafa, machafuko ya kiraia au vita. Tangazo la hali ya hatari huwatahadharisha wananchi kubadilisha maisha yao ya kawaida na huruhusu vyombo vya serikali kutekeleza mipango ya dharura. 

Hali ya hatari pia inaweza kutumika kama kisingizio cha kutupilia mbali uhuru na haki zilizotolewa na katiba. Utaratibu na uhalali wa kufanya hivyo hutofautiana na nchi.

Katika baadhi ya nchi, ni kinyume cha sheria ya kurekebisha sheria ya hali ya hatari au katiba ya wakati wa hali ya hatari. Katika nchi nyingine kuna uhuru wa kubadilisha sheria yoyote au haki zilizotolewa na katiba wakati wowote bunge inaamua kufanya hivyo.

Sheria kulingana na nchi

Kenya

Mwaka 1952, serikali ya kikoloni ya Kenya, ikiongozwa na Bwana Evelyn Baring, ilitangaza hali ya hatari baada ya waasi wa Mau Mau kuanza vita dhidi ya wazungu na Waafrika waliowaunga mkono. Hali hiyo iliisha mwaka 1960[1][2].

Katiba ya Kenya inakubali hali ya hatari wakati wa maafa asilia, vita, machafuko ya kisiasa au hali nyingine yoyote inayohitaji hali ya hatari itangazwe. Rais atatangaza wiki mbili za hali ya hatari baada ya kupitishwa kwa azimio na wabunge thuluthi mbili. Kuongeza muda wa hali hiyo kunahitaji azimio lipitishwe na wabunge robo tatu. Hata hivyo, katiba inaruhusu mahakama ya upeo kutupilia mbali azimio na sheria yoyote itakayopitishwa katika hali ya hatari. Haki za binadamu hazifai kukiukwa kwa muda ambao hali ya hatari itakuwa[3].

Uhabeshi

Hali ya hatari katika nchi ya Uhabeshi ilitangazwa Oktoba mwaka 2016 na aliyekuwa waziri mkuu, Hailemariam Desalegn, baada ya Waoromo kuandamana[4]. Sheria ya hali ya hatari iliwataka wanadiplomasia kutosafiri zaidi ya km 40 kutoka Addis Ababa, na kutokuwa na mawasiliano na vikundi vilivyosemwa kuwa magaidi. Pia, sheria hiyo ilipiga marufuku mikutano ya hadharani na kuwapa majeshi ya usalama nguvu za kuwatia ndani waliokiuka sheria hiyo bila idhini ya mahakama[5][4]. Ilikatizwa Agosti mwaka 2017.

Hali ya hatari ilitangazwa tena Februari mwaka 2018 kwa miezi sita, siku moja baada ya Hailemariam Desalegn kujiuzulu[6][7]. Juni mwaka 2018 baada ya bunge kupiga kura kuikatiza hali ya hatari[8].

Marejeo

  1. Leander (2013-11-07), "The longest state of emergency in Kenya ends", South African History Online (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2018-08-05 
  2. Ian Edgar Aplin (2014-06-12). "State of Emergency in Kenya, 1952-1960". Ian Edgar Aplin. Iliwekwa mnamo 2018-08-05. 
  3. "58. State of emergency - Kenya Law Reform Commission (KLRC)". www.klrc.go.ke (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2018-08-05. 
  4. 4.0 4.1 "Legal Analysis of Ethiopia’s State of Emergency", Human Rights Watch (kwa Kiingereza), 2016-10-30, iliwekwa mnamo 2018-08-05 
  5. Deutsche Welle (www.dw.com). "Ethiopia regime unveils rules for state of emergency | DW | 16.10.2016". DW.COM (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-08-05. 
  6. Deutsche Welle (www.dw.com). "Sheria ya hali ya hatari Ethiopia na Migodi Magazetini | DW | 23.02.2018". DW.COM (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 2018-08-05. 
  7. "Hali ya hatari nchini Ethiopia kudumu kwa miezi sita ijayo – Taifa Leo". taifaleo.nation.co.ke (kwa Kiswahili). Iliwekwa mnamo 2018-08-05. 
  8. "Ethiopia lifts state of emergency", Daily Nation (kwa en-UK), iliwekwa mnamo 2018-08-05