Kaunti ya West Pokot : Tofauti kati ya masahihisho

Majiranukta: 1°14′00″N 35°07′00″E / 01.23333°N 035.1167°E / 01.23333; 035.1167
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{infobox Kaunti ya Kenya
'''Kaunti ya West Pokot''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
| jina_rasmi = Kaunti ya West Pokot
| jina_jingine =
| namba =24
| taswira_kuu = [[Picha:COLLECTIE TROPENMUSEUM Pokot vrouwen dansen tijdens de feestelijkheden ter gelegenheid van tien jaar onafhankelijkheid van Kenya TMnr 20038877.jpg|frameless|250px]]
| maelezo_ya_taswira = Wanawake [[Wapokot]] wakiwa [[Kapenguria]], Pokot Magharibi
| taswira_ya_bendera = [[Picha:Flag of West Pokot County.png|100px]]
| kiungo_cha_bendera =
| taswira_ya_nembo = [[Picha:Coat of Arms of West Pokot County.png|100px]]
| kiungo_cha_nembo =
| kaulimbiu =
| ramani = West Pokot County in Kenya.svg
| coordinates = {{coord|01.23333|N|035.1167|E|region:KE|display=inline,title}}
| kanda = Bonde la Ufa
| tarehe_ya_kuanzishwa = March 4, 2013
| ilitanguliwa_na = Mkoa wa Bonde la Ufa
| mji_mkuu = Kapenguria
| kikao_cha_serikali =
| miji_mingine =
| gavana = Prof. John Krop Lonyangapuo
| naibu_wa_gavana = Dkt. Nicholas Owon Atudonyang
| seneta = Samuel Losuron Poghisio
| mwanamke_mwakilishi = Lilian Tomitom
| spika = Catherine Mukenyang
| jina_la_bunge = Bunge la Kaunti ya West Pokot
| wadi = 20
| mahakama =
| maeneo_bunge = 4
| jumla_ya_eneo_km2 = 8,418.2
| idadi_ya_watu = 512,690
| wiani_wa_idadi_ya_watu =
| tovuti = {{URL|http://http://westpokot.go.ke}}
}}


'''Kaunti ya West Pokot''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]]. [[Makao makuu]] yako [[Kapenguria]].
[[Makao makuu]] yako [[Kapenguria]].

Inajulikana kwa kuwa na [[Kituo cha umeme|bwawa la uzalishaji umeme]] la pekee lililo kaskazini mwa Bonde la Ufa liitwalo [[Bwawa la Turkwell|Turkwell]]. Pia, [[Makumbusho ya Kapenguria]] yapo katika kaunti hii, ambapo wapigania uhuru sita walikamatwa na kufungwa jela na serikali ya kikoloni wakati wa [[hali ya hatari]] mwaka 1952.

== Jiografia ==
Kaunti ya Pokot Magharibi ina eneo la ukubwa wa {{Convert|9,169.4|km2|sqmi|abbr=on}}. Imepakana na Uganda (magharibi), Turkana (kaskazini), Trans Nzoia na Elgeyo Marakwet (kusini) na Baringo (kusini mashariki).

Kaunti hii ina tabianchi kavu na nusu kavu. Kiwango cha mvua ni kati ya mm 400 hadi mm 1500 kila mwaka. Halijoto huwa kati ya 10 °C na 30 °C<ref>{{Cite web|url=http://www.crakenya.org/county/west-pokot/|title=West Pokot|language=en-GB|work=www.crakenya.org|accessdate=2018-08-05}}</ref>.

== Maeneo bunge ==
Kaunti ya Pokot Magharibi ina maeneo bunge yafuatayo<ref>{{Cite web|url=http://countytrak.infotrakresearch.com/west-pokot-county/|title=West Pokot County {{!}} County Trak Kenya|language=en-US|work=countytrak.infotrakresearch.com|accessdate=2018-08-05}}</ref>:
{| class="wikitable"
|+
!Eneo bunge
!Wadi
|-
|Kapenguria
|Riwo,Kapenguria,Mnagei,Siyoi,Endugh,Sook
|-
|Sigor
|Sekerr,Masool,Lomut,Weiwei
|-
|Kacheliba
|Suam,Kodich,Kasei,Kapchok,Kiwawa,Alale
|-
|Pokot South
|Chepareria,Batei,Lelan,Tapach
|}

== Marejeo ==
<references />


{{mbegu-jio-KE}}
{{mbegu-jio-KE}}

Pitio la 15:06, 5 Agosti 2018

Kaunti ya West Pokot
Kaunti
Wanawake Wapokot wakiwa Kapenguria, Pokot Magharibi
Bendera Nembo ya Serikali
West Pokot County in Kenya.svg
Kaunti ya West Pokot katika Kenya
Coordinates: 1°14′00″N 35°07′00″E / 01.23333°N 035.1167°E / 01.23333; 035.1167
Nchi Kenya
Namba24
IlianzishwaMarch 4, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Bonde la Ufa
Makao MakuuKapenguria
GavanaProf. John Krop Lonyangapuo
Naibu wa GavanaDkt. Nicholas Owon Atudonyang
SenetaSamuel Losuron Poghisio
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Lilian Tomitom
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya West Pokot
SpikaCatherine Mukenyang
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa20
Maeneo bunge/Kaunti ndogo4
Eneokm2 8 418.2 (sq mi 3 250.3)
Idadi ya watu512,690
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutihttp://westpokot.go.ke

Kaunti ya West Pokot ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Kapenguria.

Inajulikana kwa kuwa na bwawa la uzalishaji umeme la pekee lililo kaskazini mwa Bonde la Ufa liitwalo Turkwell. Pia, Makumbusho ya Kapenguria yapo katika kaunti hii, ambapo wapigania uhuru sita walikamatwa na kufungwa jela na serikali ya kikoloni wakati wa hali ya hatari mwaka 1952.

Jiografia

Kaunti ya Pokot Magharibi ina eneo la ukubwa wa km2 9 169.4 (sq mi 3 540.3). Imepakana na Uganda (magharibi), Turkana (kaskazini), Trans Nzoia na Elgeyo Marakwet (kusini) na Baringo (kusini mashariki).

Kaunti hii ina tabianchi kavu na nusu kavu. Kiwango cha mvua ni kati ya mm 400 hadi mm 1500 kila mwaka. Halijoto huwa kati ya 10 °C na 30 °C[1].

Maeneo bunge

Kaunti ya Pokot Magharibi ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Wadi
Kapenguria Riwo,Kapenguria,Mnagei,Siyoi,Endugh,Sook
Sigor Sekerr,Masool,Lomut,Weiwei
Kacheliba Suam,Kodich,Kasei,Kapchok,Kiwawa,Alale
Pokot South Chepareria,Batei,Lelan,Tapach

Marejeo

  1. "West Pokot". www.crakenya.org (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2018-08-05. 
  2. "West Pokot County | County Trak Kenya". countytrak.infotrakresearch.com (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2018-08-05.