Usimilishaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Usimilishaji ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kik...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Usimilishaji ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kikamili hukosa sifa za kuwatofautisha ila tu kimaumbile. Usimilishaji unaweza kufanyika kwa kutumia nguvu au kutumia mambo ya kitamaduni, k.v. ndoa za kabila tofauti<ref>{{Citation|title=Assimilation {{!}} society|url=https://www.britannica.com/topic/assimilation-society|work=Encyclopedia Britannica|language=en|access-date=2018-08-04}}</ref><ref>{{Citation|title=Cultural Assimilation: Meaning and Examples for Better Clarity|url=https://historyplex.com/cultural-assimilation-meaning-examples|work=Historyplex|language=en-US|access-date=2018-08-04}}</ref>.
'''Usimilishaji''' ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kikamili hukosa sifa za kuwatofautisha ila tu kimaumbile. Usimilishaji unaweza kufanyika kwa kutumia nguvu au kutumia mambo ya kitamaduni, k.v. ndoa za kabila tofauti<ref>{{Citation|title=Assimilation {{!}} society|url=https://www.britannica.com/topic/assimilation-society|work=Encyclopedia Britannica|language=en|access-date=2018-08-04}}</ref><ref>{{Citation|title=Cultural Assimilation: Meaning and Examples for Better Clarity|url=https://historyplex.com/cultural-assimilation-meaning-examples|work=Historyplex|language=en-US|access-date=2018-08-04}}</ref>.


== Mifano ==
== Mifano ==

Pitio la 15:22, 4 Agosti 2018

Usimilishaji ni jinsi watu kutoka utamaduni au kabila ndogo hufanywa kuwa na mila na kuzichukua tamaduni za kabila kubwa au inayotawala.Watu waliosimilishwa kikamili hukosa sifa za kuwatofautisha ila tu kimaumbile. Usimilishaji unaweza kufanyika kwa kutumia nguvu au kutumia mambo ya kitamaduni, k.v. ndoa za kabila tofauti[1][2].

Mifano

Usimilishaji wa Wadorobo na Ogiek

Wadorobo wanajulikana kuwa watu wa kwanza kuishi Kenya. Waliishi katika Bonde la Ufa na kati mwa Kenya. Wamasai, Wanandi,Wakipsigis na Wakikuyu walihamia na kupanua mipaka katika maeneo waliyokuwa wakiishi Wadorobo. Walichukua mila na lugha za makabila makubwa yaliyoishi karibu nao[3].

Usimilishaji katika koloni za Ufaransa

Itikadi ya Ufaransa kutawala koloni zake ilikuwa usimilishaji. Watawaliwa walitakiwa kujifunza mila na utamaduni wa Wafaransa. Walipewa uraia wa Ufaransa na haki na majukumu yote ya raia wa Ufaransa bila kujalisha hadhi au rangi. Itikadi hiyo ilikubaliana na nadharia tawala ya Ufaransa, Liberté, égalité, fraternité (Uhuru, usawa, undugu)[4].

Marejeo

  1. "Assimilation | society", Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2018-08-04 
  2. "Cultural Assimilation: Meaning and Examples for Better Clarity", Historyplex (kwa en-US), iliwekwa mnamo 2018-08-04 
  3. "The Dorobo Peoples of Kenya and Tanzania", iliwekwa mnamo 04/08/2018
  4. Idowu, H. Oludare (1969). "Assimilation in 19th Century Senegal". Cahiers d’études africaines (kwa fr-FR) 9 (34): 194–218. ISSN 0008-0055. doi:10.3406/cea.1969.3162.