Kaizari Carus : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaisari --> Kaizari
d Kaisari Carus umehamishwa hapa Kaizari Carus: Maandishi rasmi kulingana na kamusi ya TUKI
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:47, 6 Januari 2008

Shaba inayoonyesha Kaizari Carus

Carus (takriban 230 – Julai/Agosti 283) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Oktoba 282 hadi kifo chake. Alimfuata Probus.