Ubuyu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Removing Ubuyu.jpg, it has been deleted from Commons by Christian Ferrer because: Copyright violation, see c:Commons:Licensing -.
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{vyanzo}}
{{vyanzo}}


'''Ubuyu''' ni [[ungaunga]] wa [[rangi]] ya [[maziwa]] wa [[matunda]] ya [[mbuyu]] ukiwa na [[mbegu]] zake au bila mbegu.kwa muda wa miaka kadhaa sasa Ubuyu umekuwa ni moja ya mmea wenye faida nyingi katika mwaili wa binadamu, pia hata unga wake unatajwa kuwa ni moja ya chanzo kikubwa kinachosaidia mwili wa binadamu usipatwe na maradhi.Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine yoyote .
'''Ubuyu''' ni [[ungaunga]] wa [[rangi]] ya [[maziwa]] wa [[matunda]] ya [[mbuyu]] ukiwa na [[mbegu]] zake au bila [[mbegu]]. Ubuyu umekuwa ni mmea wenye faida nyingi katika mwaili wa binadamu.


== Faida za unga wa ubuyu ==
== Faida za unga wa ubuyu ==
1. Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa.
1. unga wa ubuyu una [[vitamini C]]


2. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kalshiamu (Calcium) mara 2 zaidi ya maziwa ya ng’ombe, pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja na madini ya Chuma, Magnesiamu na Potasiamu ambayo ni mara 6 zaidi ya ile potasiamu ipatikanayo katika ndizi.
2. Ubuyu una kiwango kingi cha [[madini]] ya [[Kalshiamu]] (Calcium).


3. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini
3. Husaidia kujenga [[neva za fahamu]] mwilini


4. Ina virutubisho vya kulinda mwili
4. Ina [[virutubisho]] vya kulinda [[mwili]]


5. Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma, kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili ya binadamu huwa pia huwa na vitamin B2.
5. Ubuyu una [[vitamini B3]] na [[B2]] ambayo ni mhimu katika kuondoa [[sumu]] mwilini na [[umeng’enyaji]] wa [[madini ya chuma]],


6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C
6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha [[vitamini C]]


7. Huongeza nuru ya macho
7. Huongeza nuru ya macho
Mstari 20: Mstari 20:
8. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika
8. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika


9. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno
9. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga [[mifupa]] na [[meno]]


10. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo
10. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo

Hakikisha kuwa kila siku unapata glasi moja ya juisi ya ubuyu hasa usiku na baada ya wiki kadhaa utaona matokeo yake mwilini. Na ili upate faida za juisi ya ubuyu, zinazoelezwa hapa, lazima upate ule ubuyu halisi (mweupe) usiochanganywa na kitu kingine cha kuongeza ladha au rangi.

Pitio la 12:31, 3 Agosti 2018


Ubuyu ni ungaunga wa rangi ya maziwa wa matunda ya mbuyu ukiwa na mbegu zake au bila mbegu. Ubuyu umekuwa ni mmea wenye faida nyingi katika mwaili wa binadamu.

Faida za unga wa ubuyu

1. unga wa ubuyu una vitamini C

2. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kalshiamu (Calcium).

3. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini

4. Ina virutubisho vya kulinda mwili

5. Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma,

6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C

7. Huongeza nuru ya macho

8. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika

9. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno

10. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo