Iker Casillas : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Iker Casillas Fernández''' ni [[mchezaji]] kutoka [[Hispania]] anayecheza kwenye [[klabu]] ya [[FC Porto]] na [[timu ya taifa]] ya [[Hispania]] kama [[golikipa]].
[[Picha:Iker Casillas Euro 2012 final 01.jpg|thumb|351x351px|Iker Casillas]]
'''Iker Casillas Fernández'''(alizaliwa 20 Mei 1981) ni [[mchezaji]] kutoka [[Hispania]] anayecheza kwenye [[klabu]] ya [[FC Porto]] na [[timu ya taifa]] ya [[Hispania]] kama [[golikipa]].
Cassilas anajulikana kama [[golikipa]] mwenye [[mafanikio]] makubwa kwa muda wote katika [[soka]].Casillas alianza kucheza [[mpira]] mwaka [[1999]] katika timu ya wadogo ya [[Real Madrid]].

Akiwa Madid Casillas alipata [[mafanikio]] mengi ikiwemo kuchukua [[kombe]] la [[UEFA]] mara tatu na kuchukua kombe la [[LA LIGA]].
Kwenye mafanikio yake amewahi kushinda tuzo ya [[golikipa]] bora wa [[dunia]] nyuma yake akiwa Buffon wa [[Italia]].
Katika timu ya taifa Casillas amefanikiwa kuiwezesha kuchukua [[Kombe|kombe la Dunia]] mwaka [[2010]] nchini [[Afrika kusini]] walipocheza [[fainali]] na [[timu ya taifa]] ya [[Uholanzi]].
Kwenye mafanikio yake amewahi kushinda [[tuzo]] ya [[golikipa]] bora wa [[dunia]] nyuma yake akiwa Buffon wa [[Italia]] mwaka 2010.


{{mbegu-cheza-mpira}}
{{mbegu-cheza-mpira}}


[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:waliozaliwa 1981]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Hispania]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Hispania]]

Pitio la 12:04, 29 Julai 2018

Iker Casillas

Iker Casillas Fernández(alizaliwa 20 Mei 1981) ni mchezaji kutoka Hispania anayecheza kwenye klabu ya FC Porto na timu ya taifa ya Hispania kama golikipa. Cassilas anajulikana kama golikipa mwenye mafanikio makubwa kwa muda wote katika soka.Casillas alianza kucheza mpira mwaka 1999 katika timu ya wadogo ya Real Madrid. Akiwa Madid Casillas alipata mafanikio mengi ikiwemo kuchukua kombe la UEFA mara tatu na kuchukua kombe la LA LIGA. Katika timu ya taifa Casillas amefanikiwa kuiwezesha kuchukua kombe la Dunia mwaka 2010 nchini Afrika kusini walipocheza fainali na timu ya taifa ya Uholanzi. Kwenye mafanikio yake amewahi kushinda tuzo ya golikipa bora wa dunia nyuma yake akiwa Buffon wa Italia mwaka 2010.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iker Casillas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.