Tofauti kati ya marekesbisho "Nishati"

Jump to navigation Jump to search
No change in size ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Nishati''' inamaanisha uwezo wa kufanya [[kazi]] na kusababisha mabadiliko. Katika [[sayansi]] nishati hupimwa kwa [[kipimo cha SI]] [[joule]].
 
Katika sayansi linaina mtazamo wa pekee. Ni aina ya kani/nguvu/uwezo ambapo kazi ikifanyika k.m.kama kusogeza kitu, basi tunasema nishati imetumika.
 
==Aina za nishati==
Aina za nishati hutokana na asili au chanzo chake. Zifuatazo ni baadhi yake:
* [[Makanika]]
* [[Joto yala Jua]]
* [[Miozo ya Jua]]
* [[KinyeziKinyesi zacha Wanyama]]
* [[Mimea]]
* [[upepoUpepo]]
* [[Maji]]
* [[Joto la ardhini]]
 
===Nishati Uweza===
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi ama kuleta zao fulani la kikazi katika wakati ambao tukio halisi halijatendeka. K.m.Kama jiwe juu ya kigingi cha mlima kabla halijadondoka lina tathmini ya uwezo wa nguvukazi sawa na mara litakapofika chini wakati wa kudondoka.
 
===Nishati Mwendeko===
Hii ni hali ya kutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi endelevu kiwakati. K.m.Kama Jiwe lililorushwa lina nguvukazi alhali likipea.
 
=== Kanuni ya Uhifadhi Sawia wa Nishati ===

Urambazaji