Anime : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Picha
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
| image3 = Buruma003.png
| image3 = Buruma003.png
}}
}}
'''Anime''' ni istilahi ya kutaja "Animation" au katuni kwa lugha ya [[Kijapani]]. Asili yake hasa ni Kiingereza, lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani au Animation kwa kulete maana ileile ya Katuni za Kijapani. Lakini vilevile huko nchini Japani, anime huwa wanalitumia pia kwa matumizi ya katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.
'''Anime''' ni [[istilahi]] ya kutaja "Animation" au [[katuni]] kwa [[lugha]] ya [[Kijapani]]. [[Asili]] yake hasa ni [[Kiingereza]], lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani. Lakini nchini [[Japani]], anime huwa wanalitumia pia kwa katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.


Baadhi ya katuni huchorwa kwa mkono, lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia kompyuta. Kuna aina chungumzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu michezo, mazingaombwe, au mahaba. Hii ni baadhi ya mifano. Anime huoneshwa katika [[televisheni]], [[DVD]] na [[VHS]], na pia hutumiwa katika michezo ya video ya kompyuta. Pia, baadhi ya katuni za anime ni [[filamu]], lakini zina wahusika wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.
Baadhi ya katuni huchorwa kwa [[mkono]], lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia [[kompyuta]]. Kuna aina chungu nzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu [[michezo]], [[mazingaombwe]] au [[Mapenzi|mahaba]]. Hii ni baadhi ya mifano.


Anime huoneshwa katika [[televisheni]], [[DVD]] na [[VHS]], pia hutumiwa katika michezo ya [[video]] ya kompyuta.
Anime hasa hutokana na kitabu cha katuni cha Kijapani kinaitwa [[Manga]] na riwaya za picha. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha mazingira ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime. Historia ya anime huko nchini Japani hutazamiwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900

Baadhi ya katuni za anime ni [[filamu]], lakini zina [[wahusika]] wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.

Anime hasa hutokana na [[kitabu]] cha katuni cha Kijapani kinachoitwa [[Manga]] na [[riwaya]] za [[picha]]. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha [[mazingira]] ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime.

[[Historia]] ya anime nchini Japani hutazamwa hasa kuanza kunako [[miaka ya 1900]].


== Baadhi ya anime ==
== Baadhi ya anime ==
* [[Kodomo]]
* [[Kodomo]]
* Shonen
* [[Shonen]]
* [[Shojo]]
* [[Shojo]]
* [[Seinen]]
* [[Seinen]]

Pitio la 09:22, 21 Julai 2018

Anime ni istilahi ya kutaja "Animation" au katuni kwa lugha ya Kijapani. Asili yake hasa ni Kiingereza, lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani. Lakini nchini Japani, anime huwa wanalitumia pia kwa katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao. Makala hii inahusu katuni za Japani.

Baadhi ya katuni huchorwa kwa mkono, lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia kompyuta. Kuna aina chungu nzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu michezo, mazingaombwe au mahaba. Hii ni baadhi ya mifano.

Anime huoneshwa katika televisheni, DVD na VHS, pia hutumiwa katika michezo ya video ya kompyuta.

Baadhi ya katuni za anime ni filamu, lakini zina wahusika wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.

Anime hasa hutokana na kitabu cha katuni cha Kijapani kinachoitwa Manga na riwaya za picha. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha mazingira ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime.

Historia ya anime nchini Japani hutazamwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900.

Baadhi ya anime

Tazama pia