Kasoko ya dharuba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kasoko ya dharuba''' (ing. impact crater) ni tundu kwenye ardhi kutokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo n...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{| class="infobox" style="width: 295px;"
|-
|
{| cellpadding=0 cellspacing=2 style="background-color: white;"
|-
| rowspan=2 | [[File:Iapetus as seen by the Cassini probe - 20071008.jpg|157px|Kasoko ya ''Engelier'' huko Iapetus (mwezi wa [[Zohali]])]] || [[File:Fresh impact crater HiRise 2013.jpg|143px|Kasoko mpya kwenye [[Mirihi]] ionyeshayo mistari ambako mata ilitupwa wakati wa dharuba]]
|-
| rowspan=2 | [[File:Tycho crater on the Moon.jpg|143px|Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi]]
|-
| [[File:Barringer Crater aerial photo by USGS.jpg|157px|Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani]]
|}
|-
|'''Kasoko za dharuba katika Mfumo wa Jua'''
* Juu-kulia: Kasoko ya ''Engelier'' huko Iapetus (mwezi wa [[Zohali]] ina kipenyo cha [[km]] 500
* Juu-kushoto: asoko mpya kwenye [[Mirihi]] ionyeshayo mistari ambako mata ilitupwa wakati wa dharuba<ref>[https://arstechnica.com/science/2014/02/spectacular-new-martian-impact-crater-spotted-from-orbit/ Spectacular new Martian impact crater spotted from orbit], [[Ars Technica]], 6 February 2014.</ref>
* Bottom-left: Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani ina umri wa miaka 50,000
* Bottom-right: Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi
|}[[Picha:Impact movie.ogv|250px|thumb|Kutokea kwa kasoko kutokana na dharuba (filamu ya maabara ya NASA)]]
'''Kasoko ya dharuba''' (ing. impact crater) ni tundu kwenye ardhi kutokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na
'''Kasoko ya dharuba''' (ing. impact crater) ni tundu kwenye ardhi kutokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na
ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko wa volkeno au milipuko mingine.
ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko wa volkeno au milipuko mingine.

Pitio la 06:18, 11 Julai 2018

Kasoko ya Engelier huko Iapetus (mwezi wa Zohali) Kasoko mpya kwenye Mirihi ionyeshayo mistari ambako mata ilitupwa wakati wa dharuba
Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi
Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani
Kasoko za dharuba katika Mfumo wa Jua
  • Juu-kulia: Kasoko ya Engelier huko Iapetus (mwezi wa Zohali ina kipenyo cha km 500
  • Juu-kushoto: asoko mpya kwenye Mirihi ionyeshayo mistari ambako mata ilitupwa wakati wa dharuba[1]
  • Bottom-left: Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani ina umri wa miaka 50,000
  • Bottom-right: Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi
Kutokea kwa kasoko kutokana na dharuba (filamu ya maabara ya NASA)

Kasoko ya dharuba (ing. impact crater) ni tundu kwenye ardhi kutokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na milipuko wa volkeno au milipuko mingine.

Katika magimba ya angani ambayo ina uso thabiti kuna kasoko nyingi kama matokeo ya kugongwa na magimba kutoka anga la nje. Kwa mfano kwenye Mwezi wa Dunia kuna kasoko nyingi zilizosababishwa na migongano ya asteroidi au vimondo. Pigo la kitu kigumu linarusha mata iliyopo mahali pa mgongano ikipangwa pembeni ya tundu hili kwa umbo la ukingo wa mviringo.

Duniani kasoko nyingi kutokana na mishtuko ya aina hii zinasawazishwa baada ya muda fulani kutokana na mmomonyoko wa mvua na upepo; kwenye magimba pasipo na angahewa kama Mwezini zinabaki kwa muda mrefu.

  1. Spectacular new Martian impact crater spotted from orbit, Ars Technica, 6 February 2014.