Nyama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:FoodMeat.jpg|right|300px|thumb|Nyama ya wanyama kadhaa]]
[[Picha:FoodMeat.jpg|right|300px|thumb|Nyama ya wanyama kadhaa.]]
'''Nyama''' ni sehemu za mwili wa wanyama zinazoliwa kama [[chakula]].
'''Nyama''' ni sehemu za [[mwili]] wa [[wanyama]] zinazoliwa kama [[chakula]] au [[kitoweo]].


Kwa watu wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina [[protini]] nyingi ndani yake pamoja na mafuta. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za dunia ambako watu wamezoea kula nyama mbichi wakiteua sehemu lainilaini kwa mfano nyama ya kusagwa au [[maini]].
Kwa [[watu]] wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina [[protini]] nyingi ndani yake pamoja na [[mafuta]]. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za [[dunia]] ambako watu wamezoea kula nyama mbichi wakiteua sehemu lainilaini, kwa mfano nyama ya kusagwa au [[ini|maini]].


== Uchumi wa nyama ==
== Uchumi wa nyama ==
Gharama ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha mboga kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga iliyobadilishwa umbo. Njia yake ni wanayama kula majani na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjwa. Kwa njia hiyo kilogramu moja cha protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 protini ya mboga kama lishe ya wanyama. Kwa lugha nyingine [[ekari]] zinazolisha wanyama wa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya [[nafaka]] au [[maharagwe]] n.k.
[[Gharama]] ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha [[mboga]] kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga iliyobadilishwa [[umbo]]. Njia yake ni [[wanyama]] kula [[majani]] na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjwa. Kwa njia hiyo [[kilogramu]] [[moja]] ya protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 za protini ya mboga kama [[lishe]] ya wanyama. Kwa [[lugha]] nyingine [[ekari]] zinazolisha wanyama wa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya [[nafaka]], [[maharagwe]] n.k.


Katika mazingira asilia hii si tatizo kubwa kwa sababu maeneo yabisi hayakufaa kwa kilimo lakini wafugaji wahamiaji waliweza kuzunguka hapa na wanyama wao ilhali nchi yenye mvua na rutba ilitumiwa kwa kilimo cha mimea ya kulisha watu.
Katika [[mazingira]] asilia hili si tatizo kubwa kwa sababu maeneo [[yabisi]] hayakufaa kwa [[kilimo]] lakini [[wafugaji]] wa kuhamahama waliweza kuzunguka huko na wanyama wao ilhali nchi yenye [[mvua]] na [[rutuba]] ilitumiwa kwa kilimo cha [[mimea]] ya kulisha watu.


Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huu kwa sababu sehemu kubwa ya mavuno hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi tajiri kama Marekani au Ulaya zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hii wanaweza kupandisha bei ya vyakula hivi na wakazi maskini wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.
Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huo kwa sababu sehemu kubwa ya [[mavuno]] hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi [[tajiri]] kama [[Marekani]] au zile za [[Ulaya]] zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hiyo wanasababisha [[bei]] ya vyakula hivi kupanda hata wakazi [[maskini]] wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.


== Historia ==
== Historia ==
Uthibitisho wa [[Palantolojia]] unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]
=== Historia ya uzalishaji wa nyama ===


Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa [[maendeleo]] ya [[ustaarabu]]:
Uthibitisho wa [[Paleotolojia]] unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]


* [[Kondoo]] wanatoka [[Asia Magharibi]].
Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa maendeleo ya ustaarabu:
* [[Ng'ombe]] wana asili ya [[Mesopotamia]] baada ya kuanzishwa kwa kilimo.

* [[Nguruwe]] wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama [[Hungaria]].
* [[Kondoo]] wanatoka Asia ya magharibi.
* [[Ng'ombe]] wana asili ya Mesopotamia baada ya kuanzishwa kwa nyanja ya kilimo.
* [[Nguruwe]] wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama Hungary.


==Viungo vya nje==
{{commonscat|Meats|Nyama}}
{{commonscat|Meats|Nyama}}
{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-biolojia}}

Pitio la 10:17, 7 Julai 2018

Nyama ya wanyama kadhaa.

Nyama ni sehemu za mwili wa wanyama zinazoliwa kama chakula au kitoweo.

Kwa watu wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina protini nyingi ndani yake pamoja na mafuta. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za dunia ambako watu wamezoea kula nyama mbichi wakiteua sehemu lainilaini, kwa mfano nyama ya kusagwa au maini.

Uchumi wa nyama

Gharama ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha mboga kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga iliyobadilishwa umbo. Njia yake ni wanyama kula majani na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjwa. Kwa njia hiyo kilogramu moja ya protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 za protini ya mboga kama lishe ya wanyama. Kwa lugha nyingine ekari zinazolisha wanyama wa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya nafaka, maharagwe n.k.

Katika mazingira asilia hili si tatizo kubwa kwa sababu maeneo yabisi hayakufaa kwa kilimo lakini wafugaji wa kuhamahama waliweza kuzunguka huko na wanyama wao ilhali nchi yenye mvua na rutuba ilitumiwa kwa kilimo cha mimea ya kulisha watu.

Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huo kwa sababu sehemu kubwa ya mavuno hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi tajiri kama Marekani au zile za Ulaya zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hiyo wanasababisha bei ya vyakula hivi kupanda hata wakazi maskini wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.

Historia

Uthibitisho wa Palantolojia unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]

Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa maendeleo ya ustaarabu:

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.