Dijiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Dijiti''' (kutoka neno la Kiingereza ambalo kwa Kilatini linamaanisha kidole) ni tarakimu zinazoenea katika vidole kumi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:52, 7 Julai 2018

Dijiti (kutoka neno la Kiingereza ambalo kwa Kilatini linamaanisha kidole) ni tarakimu zinazoenea katika vidole kumi vya mkono wa binadamu, kuanzia 0 hadi 9.

Siku hizi neno hilo linatumika sana katika teknolojia ya simu, runinga, tarakilishi n.k. kama mfumo unaotumia namba kufichua alama za kielektroni.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.