Albert Schweitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
[[Category:Wanafalsafa wa Ujerumani]]
[[Category:Wanafalsafa wa Ujerumani]]
[[Category:Wanafalsafa wa Ufaransa]]
[[Category:Wanafalsafa wa Ufaransa]]
[[Category:Tuzo ya Nobeli ya Amani]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]]


[[af:Albert Schweitzer]]
[[af:Albert Schweitzer]]

Pitio la 18:37, 5 Januari 2008

Albert Schweitzer (14 Januari, 18754 Septemba, 1965) alikuwa mwanateolojia, mwanafalsafa, mwanamuziki na daktari kutoka eneo la Alsatia, ambalo lilikuwa sehemu ya Ujerumani kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, lakini la Ufaransa baadaye. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Amani kwa ajili ya falsafa yake. Hasa anajulikana kwa kuanzisha na kuongoza kituo cha kimisionari na hospitali eneo la Lambarene nchini Gabon.