Nyama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Uchumi wa nyama: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Nyama''' ni sehemu za mwili wa wanyama zinazoliwa kama [[chakula]].
'''Nyama''' ni sehemu za mwili wa wanyama zinazoliwa kama [[chakula]].

Kwa watu wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina [[protini]] nyingi ndani yake pamoja na mafuta. Nyama huliwa baada ya kuipika au kukaanga. Kuna sehemu za dunia ambako watu wamezoea kula nyama bichi wakiteua sehemu lainilaini kwa mfano nyama ya kusagwa au [[maini]].
Kwa watu wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina [[protini]] nyingi ndani yake pamoja na mafuta. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za dunia ambako watu wamezoea kula nyama mbichi wakiteua sehemu lainilaini kwa mfano nyama ya kusagwa au [[maini]].

== Uchumi wa nyama ==
== Uchumi wa nyama ==
Gharama ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha mboga kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga uliobadilishwa umbo. Njia yake ni wanayama kula majani na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinja. Kwa njia hiyo kilogramu moja cha protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 protini ya mboga kama lisha ya wanyama. Kwa lugha nyingine [[ekari]] zinazolisha wanyama ya kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya [[nafaka]] au [[maharagwe]] n.k.
Gharama ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha mboga kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga iliyobadilishwa umbo. Njia yake ni wanayama kula majani na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjwa. Kwa njia hiyo kilogramu moja cha protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 protini ya mboga kama lishe ya wanyama. Kwa lugha nyingine [[ekari]] zinazolisha wanyama wa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya [[nafaka]] au [[maharagwe]] n.k.

Katika mazingira asilia hii si tatizo kubwa kwa sababu maeneo yabisi hayakufaa kwa kilimo lakini wafugaji wahamiaji waliweza kuzunguka hapa na wanyama wao ilhali nchi yenye mvua na rutba ilitumiwa kwa kilimo cha mimea ya kulisha watu.

Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huu kwa sababu sehemu kubwa ya mavuno hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi tajiri kama Marekani au Ulaya zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hii wanaweza kupandisha bei ya vyakula hivi na wakazi maskini wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.

== Historia ==
=== Historia ya uzalishaji wa nyama ===

Uthibitisho wa [[Paleotolojia]] unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]

Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa maendeleo ya ustaarabu:

* [[Kondoo]] wanatoka Asia ya magharibi.
* [[Ng'ombe]] wana asili ya Mesopotamia baada ya kuanzishwa kwa nyanja ya kilimo.
* [[Nguruwe]] wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama Hungary.

{{commonscat|Meats|Nyama}}
{{commonscat|Meats|Nyama}}

Pitio la 05:56, 7 Julai 2018

Nyama ya wanyama kadhaa

Nyama ni sehemu za mwili wa wanyama zinazoliwa kama chakula.

Kwa watu wengi nyama ni chakula muhimu kwa sababu ina protini nyingi ndani yake pamoja na mafuta. Nyama huliwa baada ya kuipika, kuchoma au kukaanga. Kuna sehemu za dunia ambako watu wamezoea kula nyama mbichi wakiteua sehemu lainilaini kwa mfano nyama ya kusagwa au maini.

Uchumi wa nyama

Gharama ya nyama ni kubwa kushinda chakula cha mboga kwa sababu kiuchumi nyama ni mboga iliyobadilishwa umbo. Njia yake ni wanayama kula majani na majani haya yakikuza mnyama huwa nyama baada ya kuchinjwa. Kwa njia hiyo kilogramu moja cha protini ya nyama huhitaji kilogramu 5 hadi 10 protini ya mboga kama lishe ya wanyama. Kwa lugha nyingine ekari zinazolisha wanyama wa kushibisha watu 100 zinaweza kulisha watu 500 hadi 1,000 kwa njia ya nafaka au maharagwe n.k.

Katika mazingira asilia hii si tatizo kubwa kwa sababu maeneo yabisi hayakufaa kwa kilimo lakini wafugaji wahamiaji waliweza kuzunguka hapa na wanyama wao ilhali nchi yenye mvua na rutba ilitumiwa kwa kilimo cha mimea ya kulisha watu.

Kilimo cha kisasa kimebadilisha muundo huu kwa sababu sehemu kubwa ya mavuno hutumiwa kwa lishe ya wanyama. Tatizo lake linaonekana pale ambako nchi tajiri kama Marekani au Ulaya zinanunua nafaka au maharagwe kote duniani kama lishe ya wanyama wao. Kwa njia hii wanaweza kupandisha bei ya vyakula hivi na wakazi maskini wanaona bei ya vyakula zinapanda kushinda uwezo wao.

Historia

Historia ya uzalishaji wa nyama

Uthibitisho wa Paleotolojia unaonyesha kuwa nyama ilikuwa sehemu kubwa ya chakula cha binadamu toka kale. Jamii za kale za wawindaji zilipata nyama kwa kuwinda wanyama wakubwa kama [kulungu]]

Wanyama ambao sasa ni vyanzo vikuu vya nyama walianza kuliwa toka mwanzo wa maendeleo ya ustaarabu:

  • Kondoo wanatoka Asia ya magharibi.
  • Ng'ombe wana asili ya Mesopotamia baada ya kuanzishwa kwa nyanja ya kilimo.
  • Nguruwe wanaaminika kutoka katika nchi inayojulikana siku hizi kama Hungary.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.