Kangi Alphaxard Lugola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
| predecessor = [[Mwigulu Lameck Nchemba Madelu|Mwigulu Nchemba]]
| predecessor = [[Mwigulu Lameck Nchemba Madelu|Mwigulu Nchemba]]
| successor =
| successor =
| office1 = Waziri wa Nchi,<br>[[Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira (Tanzania)|amakamu wa Rais, Muungano na Mazingira]]
| office1 = Waziri wa Nchi,<br>[[Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira (Tanzania)|Ofisi ya Mamakamu wa Rais<br> Muungano na Mazingira]]
| term_start1 = 9 Ocotober 2017
| term_start1 = 9 Ocotober 2017
| term_end1 = 01 July 218
| term_end1 = 01 July 218

Pitio la 15:53, 3 Julai 2018

Mhe. Alphaxard Kangi Lugola


Wizara ya Mambo ya Ndani
Muda wa Utawala
01 July 2018 – 2020
Rais John Magufuli
mtangulizi Mwigulu Nchemba

Muda wa Utawala
9 Ocotober 2017 – 01 July 218

Mbunge
wa Mwibara Bunda
Muda wa Utawala
November 2015 – 2020

tarehe ya kuzaliwa 23 May 1963
utaifa Mtanzania
chama CCM
makazi Dodoma
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Kangi Alphaxard Lugola (alizaliwa 25 Mei 1963) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Jimbo la Mwibara (Mkoa wa Mara) kwa miaka 20152020. [1]

Elimu

Kangi alianza masomo ya shule ya msingi katika shule ya msingi ya Nyabitwebili kuanzia mwaka 1974 mpaka 1977 akasoma pale kuanzia darasa la kwanza hadi la nne na kisha akahamia Shule ya Msingi Mugeta ambapo alisoma pale kwa mwaka mmoja (1978), alipofunga Shule kwa mwaka uliofuata aliamua kwenda kumalizi madara ya sita na saba katika shule ya Msingi Kafunjo, huo ulikuwa mwaka 1979 hadi 1980 hapo ndipo alipohitimu Elimu ya Darasa la saba na hivyo kutunukiwa cheti cha Elimu ya Msingi. Mwaka 1981 alijiunga na Shule ya sekondari ya Sengerema (Sengerema Secondary School) hadi mwaka 1984 alipohitimu Elimu ya sekondari na kutunukiwa cheti cha CSEE. Huo ndio ukawa mwanzo wa kusonga mbele kwani mnamo mwaka 1985 alijiunga tena na Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Songea (Songea Boys Secondary School) kwa ajili ya elimu ya juu ya Sekondari na hivyo kuhitimu kidato cha sita mwaka 1987 kwa kuzawadiwa cheti cha ACSEE. Matokeo hayo yalimpa nafasi Kangi kusonga mbele kwa ajili ya elimu ya juu ambapo mwaka 1996 hadi 1997 alifanikiwa kupata stashada kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam. (University of Dar es Salaam) Kati ya mwaka 1988 hadi mwaka 1992 ambapo alihitimu Shahada ya Uchumi. Mwaka 2008 ajiunga na Chuo kikuu cha Leisester nchini uingereza na kufanikiwa kupata Shahada ya udhamili mwaka 2010.

Kuhusu kuajiriwa

Kangi Lugola alikuwa mwajiriwa wa jeshi la Polisi Tanzania na kuanzia mwaka 1993 hadi mwaka 1998 alikuwa afisa mkaguzi wa Polisi (Inspector) na Mwendesha mashitaka wa serikali, Mwaka 1998 mpaka 1999 alikuwa kaimu Afisa mpelelezi mwandamizi wa Jeshi la Polisi, mwaka 19999 hadi 2000 alikuwa Mkuu wa kituo daraja la kwanza. (A) Mnamo mwaka 2001 hadi 2002 alikuwa Mkuu wa ulinzi na usalama wa Uwanja wa ndege na baadae makwa alihamishiwa katika jumuiya ya afrika mashariki na hapo akapandishwa cheo na kuwa mkuu wa usalama.[2]

Hoja na Misimamo

Kangi Alphaxard Lugola anakumbukwa kwa misimamo yake akiwa bungeni, ama hakika kwa mtu aliyekuwa akifuatilia shughuli za Bunge wakati akiwa katika jumba hilo la kutunga sheria kwa kuwawakilisha wananchi wake. Kangi alikuwa na uwezo mkubwa wa kushawisha na hata ikiwezekana alitumia hata mbinu ya kuchekesha ili mradi hoja yake iungwe mkono. katika mwendelezo wa shughuli za bunge kuna wakati alidhani kwamba akiongea hivihivi huku mtu akimwona akitoa hoja yake atamwonea huruma, ikamlazimu kumwomba idhini spika wa bunge amruhusu avaae kifunikauso ali mradi tu asimuonee huruma waziri mtoa hoja na hiyo ilikuwa katika kuomba maji katika jimbo lake. Kitendo hicho kilimlazimu Spika wa bunge ama akubali ama akatae kutoa idhini, kwa hiyo watu wote hata wapiga kura wa jimbo lake walitamani kusikia Spika akisema chochote, na kwa kawaida ya wapiga kura wao waliliona lile ni jambo zuri kwao kwani ilikuwa ni kiasi gani amwandae waziri kusema chochote kuhusu jimbo lake. Kangi alisema, "Mheshimiwa mimi naomba uniruhusu ni kininja ili nitoe niliyo nayo kwa sababu bila kufanya hivyo nitamuonea huruma Waziri".[3][4]

Jingine ambalo pengine Watanzania wafutiliaji wa masuala ya bunge ambya wamekosa mara baada ya Kangi Lugola kuteuliwa kuwa Naibu Waziri ilikuwa ni ile misimamo yake ya lugha za Kuuzi bungeni hakika hakupendezwa nazo na mara kwa mara alikuwa akisikia tu lugha za kuudhi aliinua mkona na kuomba mwongozo kwa Mheshimiwa spika lengo lake likiwa ni kupata ufafanuzi kwa wabunge ambao hupenda kutoa lugha za kuudhi bungeni (matusi) [5]

Harakati za kisiasa

Mwanasiasa
Mwaka Cheo Ngazi
2017 - Hadi leo Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na mazingira Serikali ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania
2015 - 2020 Mbunge Bunge la Jamhuri ya Muungno
2015 - 2018 Mbunge Jimbo la Mwibara Bunge la Jamhuri ya Muungno
2015 - 2018 Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ya mambo ya nje/Mbunge Bunge la Jamhuri ya Muungno
2013 - 2015 Mjumbe Kamati ya Kudumu ya Bunge Bunge la Jamhuri ya Muungno
2010 - 2015 Mbunge Jimbo la Mwibara Bunge la Jamhuri ya Muungno
2010 - 2013 Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali/Mbubge Bunge la Jamhuri ya Muungno
2008 - 2008 Mwenyekiti CCM (Wazazi) Ngazi ya Wilaya
1986 - 1986 Mwenyekiti Ngazi ya Tawi

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. http://www.parliament.go.tz/administrations/199
  3. https://www.youtube.com/watch?v=8R3K_ujFN0c
  4. http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/kangi-lugola-aomba-kuvaa-kininja-ili-achangie-ripoti-ya-tegeta-escrow-bungeni
  5. https://www.youtube.com/watch?v=DOdyPcFU5yE